Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Baada ya kuwa katika mgogoro mzito wa kifamilia (uliyonihusu mimi kuwa na wanawake wengine), aliyekua dada yetu wa kazi akawa ananifariji shemeji yake. Dada huyu nililetewa kijijini na mama yangu...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Ametoka kazini amepitia kwa mchepuko huko anapikiwa chapati za nazi na mchicha uliochanganywa na carrots, shurti kutengenezewa wrap. Haiishii hapo nawekewa maji ya kuoga na upande wa khanga na...
16 Reactions
70 Replies
6K Views
Bwana Yesu asifiwe wapendwa!!!! Hongereni na majukumu./ >>Napenda leo nifafanue jambo hili maana NDOA nyingi zimekua na shida na wengi hawajui kama ameolewa na mwanamme au mume,,,au kaoa...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Ni vitu gani 10 vya kufanya kila siku ili kufanikiwa kwenye maisha?
1 Reactions
9 Replies
878 Views
Ni ushauri gani wa maisha unaweza ukampa kijana ambaye ana umri kati ya miaka 20 na 30?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Familia moja ya watu weusi nchini Uingereza wamepata mtoto mzungu lakini hakuna aliyelaumu kuhusu kuzaliwa mtoto mzungu, na wote wanafuraha na kudai hakuna aliyechepuka kwa kuwa wote wana aminiana...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Siku kama ya leo ndio siku ambayo mahusiano yangu na binti mmoja kuanza kuyumba na hatimaye kuvunjika kabisa akiniiacha nikiwa na majonzi lakini nashukuru baada ya muda fulani alikuja kuniomba...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Vipi mambo, Hawa wanachuo wenye kuvaa vizuri si wanafaa kabisa kwa ndoa? Maana nimeona kuna baadhi watulivu kweli yani, vipi nichumbie au nikaushe maana mimi sio muongo muongo nataka nioe kabisa...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari za jioni wandugu wote humu ndani.Baada ya pilika zote za kutafuta mwenza wa maisha hatimae nimeangukia Kwa bint wa kisambaa kutoka Kauzeni Maramba Tanga. Nilikotoka ilikuwa vita ya...
15 Reactions
87 Replies
69K Views
Guantanamera maana yake ni mwanamke toka Guantánamo, ...... neno hilo linaasili ya Spanish, Jose Mart alitunga mashairi ya wimbo wenye Jina hilo mwaka 1966. Mashairi ya wimbo huo yametumika sana...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu, maana hii changamoto inanitafuna sana!
0 Reactions
41 Replies
10K Views
Salaam, Niliachana na mpenzi wangu kwa maneno na matusi makubwa, mpaka kufikia hatua nilimsusa mke pamoja na mtoto bila kutoa matumizi ya aina yeyote yapata miaka miwili 2 na miezi kama 4 hivi...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Wanawake ambao bado hawajaolewa, wenye umri kati ya miaka 25 na 29 nchini China wamekosoa vyombo vya habari nchini humo kwa kile wanachokiita unyanyapaa dhidi yao. Vyombo vya habari vimekuwa na...
5 Reactions
66 Replies
6K Views
Naomba msaada, Wanaume na kama nakosea mnisamehe, mimi ni mwanamke nimeolewa ila mume wangu ni kama mke wangu yaani mimi ni mume wake, amekuwa na tabia hizi hajishughulishi na familia yake yaani...
7 Reactions
228 Replies
32K Views
Kama title inavyosema, kuna mke wa mtu wa mfanyabiashara mmoja hivi ananipenda kimapenzi. Mwanzo sikuwa na mawasiliano nae but kachukua namba zangu na kuanza mawasiliano. Kaniambia kuwa...
3 Reactions
135 Replies
16K Views
Habari wakuu, Kuna tatizo moja linalowatafuna hawa ndugu zetu wenye pesa nyingi nalo ni majukumu kuwa mengi na kutokana na magonjwa wanashindwa kuwafikisha wenzi wao kileleni hivyo kuwaachia wake...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Why unakuta mtu unayempenda wewe wala hajali hisia zako.Lakini ambao huwapendi unakuta yanakugandaganda kama ruba mwisho wa siku unajikuta unaolewa tu na usiyempenda hasa kwa upande wetu sie...
5 Reactions
52 Replies
5K Views
Waungwana naongea na vijana wenzangu tufanye kaz huo umaliyoo Kuna uzee msiendekeze kulelewa Jaman uzee sio mchezo Tufanye kaz tujiokoe Uzeen Marehem Remy aliimba nkifikilia uzee silal sa mnadhan...
0 Reactions
1 Replies
590 Views
Hii tabia ya baadhi ya wanawake ya kupenda kupiga mizinga ilihali ukimuomba papuchi ananuna ina kera sanaaa Unapenda kupokea lakini hupendi kutoa? Kama ni hivyo katafute mwenyewe kwa jasho lako...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…