Unamchukuliaje mwanamke wa namna hii

Unamchukuliaje mwanamke wa namna hii

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
640
Reaction score
657
Uko na mpenzi wako chumbani ambae mlijuana kupitia moja ya mitandao ya kijamii mkishirikiana kwenye kuivunja amri sita.

Mpenzi wako huyo huwa ana kawaida ya kuja kwako na kuondoka au wakati mwingine hulala kabisa nyumbani kwako na kuondoka kesho yake asubuhi.

Wakati mnaendelea kuivunja amri ya sita huku kidume ukiwa umechanganya kwenye ku push "in and out" unamsikia baby wako anakuuliza "baby asubuhi utanipa Tshs ngapi" wakati ni kawaida yako kila inapofika asubuhi unampa nauli na pesa kidogo ya matumizi.

Utamchukuliaje mwanamke wa namna hiyo anaeulizia masuala ya pesa katikati ya mchezo ?
 
Kawaida tu ,wanawake makini wamefunzwa kuelezea mahitaji yao wakati ukiwa unamgegeda ,maana pale ndo mwanamme hutoa majibu sahihi nakam niahadi akiitoa lazima atizime .

Lkn pia Namna unavyomjibu inamfanya yeye aelewe kama amekuweza (yaan unafurahia gegedo lake au ?)

Kwaiyo iyo nitechnic wanayotumia kutushawishi sisi wanaume ...wala usihisi ni Malaya !!.

Unless nikatoto kapo 18-23
 
Hahaaa. Hiyo kali aisee. Yaani badala azipokee raha yeye anawaza nauli lol.

Enhe ukamjibuje sasa?

Pia napata shaka huenda unampa chache sasa akajua ukiwa kwenye ile shughuli lazima utaweka dau kubwa. Hahahaaaa.
 
Hawazi kingine zaidi ya pesa hao ndiyo mademu sasa, yani muda wote akili yake inawaza pesa tu hata katikati ya starehe akili yake inawaza mpunga tu... Ni wachache sana wenye hulka hizi, nipe namba yake mkuu napenda mademu wa hivi
 
Ela unayompaga ni ndogo!uongeze dau!
 
Naww unamjibu inategemea na huduma yako
 
hiyo ni bishara mate
ila mwambie kesho sikupi hela
 
Hahaaa. Hiyo kali aisee. Yaani badala azipokee raha yeye anawaza nauli lol.

Enhe ukamjibuje sasa?

Pia napata shaka huenda unampa chache sasa akajua ukiwa kwenye ile shughuli lazima utaweka dau kubwa. Hahahaaaa.
Aliambiwa kwamba chochote ukimuomba mwanaume wakati wa makamuzi anakupa mara kumi zaidi ya kawaida
 
Hahahaa, huyo dada kaua!

Wanawake na hela jamani lloooh!
 
Hahaaa. Hiyo kali aisee. Yaani badala azipokee raha yeye anawaza nauli lol.

Enhe ukamjibuje sasa?

Pia napata shaka huenda unampa chache sasa akajua ukiwa kwenye ile shughuli lazima utaweka dau kubwa. Hahahaaaa.
Sikumjibu nilipiga kimya ingawa nililisikia swali lake
 
unadate gold digger mkuu, we unapiga mashine anaona kama mnacheza draft au we ni team le mutuz mkuu?
 
Mwambie kulingana na kiwango
Chako ulichonionesha
 
NLITAKA KUSEMA .........ILA HAVIENDANI KABISA...HUYU NI TAPELI NA JAMBAZI KABISA
 
Back
Top Bottom