Angalia hitaji lako si kutaka kujua huyo mkeo au mtarajiwa wako kamegwa na wangapi

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,119
Hivi ushawahi kuingia kwenye mgahawa ukaletewa chakula kwenye sahani iliyotoka kiwandani leo,au ushawahi kimuuliza mhudumu kwenye mgahawa ulioenda kula chakula eti wewe ni mtu wa ngapi kutumia hyo sahani na kijiko na kabla ya hapo wamepita watu wa ngapi kama hujawahi kufanya kw kusahau na hitaji la tumbo lako lenye njaa basi ndo the same na mapenzi we angalia unahitaji nini(chakula gani) na si kitaka kujua eti sahani iliyobebachakula ckako imetumiwa na watu wa ngapi maana kwa kufanya hivyo utajikuta unamaliza migahawa kwa kutaka sahani yako peke yako
Angalia hitaji lako sio matumizi ya wenzako kwenye hiko unachotaka kukitumia
 
Ukiridhika na mwanamke achana na yalopita, deal na mlipoanzia kuelekea mbele.

Wapo wengi wanajitutumua oooh pale nishapiga kumbe hakuna lolote
 
Sasa ww wafananisha sahan na mke kweli? Mke ni tulizo na tulizo ni kupata mashine haijachezewa Sana, unakutana na mwanamke kazoea hogo halaf ww unakilemubebez halaf unajidanganya eti waangalia hitaji lako
 
Hivi ushawahi kuingia kwenye mgahawa ukaletewa chakula kwenye sahani iliyotoka kiwandani leo,au ushawahi kimuuliza mhudumu kwenye mgahawa ulioenda kula chakula eti wewe ni mtu wa ngapi kutumia hyo sahani na kijiko na kabla ya hapo wamepita watu wa ngapi kama hujawahi kufanya kw kusahau na hitaji la tumbo lako lenye njaa basi ndo the same na mapenzi we angalia unahitaji nini(chakula gani) na si kitaka kujua eti sahani iliyobebachakula ckako imetumiwa na watu wa ngapi maana kwa kufanya hivyo utajikuta unamaliza migahawa kwa kutaka sahani yako peke yako
Angalia hitaji lako sio matumizi ya wenzako kwenye hiko unachotaka kukitumia
Mwanamke huwezi fananisha na sahani, akitumiwa mwanzo hana ujanja tena. Mie wahivyo akaolewe na aliemtoa bk
 
Thamani ya mwanamke kweli inazidi kushuka kutoka ng'ombe wa miguu minne 20 kama mahari nasasa wanafananishwa na sahani ya hotel au bar watumike hovyohovyo tu na wasiulizwe kweli hizo familia zitajengwa
 
Back
Top Bottom