Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

[emoji3][emoji3][emoji91]
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani Leo nimeamua kuwapa utofauti nilioigundua baina ya mabinti wa kiafrika hususani Tanzania na wenzetu ngozi nyeupe. Baada kiwa nje ya nchi kwa takribani miaka saba kimasomo nilikuwa licha ya...
8 Reactions
69 Replies
8K Views
Kama mnavyojionea ndugu zangu, Tanzania ni kubwa na kila jamii ina utamaduni wake. Ndio siku umeenda ukweni kukaa siku mbili tatu na kukuta hali kama hiyo chooni na haja imekukamata si utani, pia...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu Wakuu. Duu aseeh asikwambie Mtu vibe la kusubiria Majibu Ya Vipimo Vya HIV. Ndo maana mwanzo nilikuwa nakataa hizi kazi mimi wakuu kupima kwangu nilikuwa nawakilishwa na wife akipata...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari za wikiend wanaMMU Hivi majuzi nimeshuhudia na kuamulia ugomvi mzito sana baina ya maswahiba wawili ambao ni wanafunzi wa chuo waliopanga mtaani kwangu jijini hapa maumivu ya kuliwa mke...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwaka 2005 July katika mojawapo ya municipal iliyopo Kanda ya ziwa, nikiwa na rafiki yangu mida ya saa 2:15 usiku tulipewa ahadi ya kukutana na warembo (walikuwa wanafunzi) katika mitaa ya...
7 Reactions
226 Replies
15K Views
Nilikuwa na mwanamke wangu baada ya kugundua anachepuka tu nikamtema na kukataa mawasiliano yote na yeye, marafiki zake, na familia yake.Baada ya miez miwili , kantafuta jana magetoni analia...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Binafsi ilinitokea tu kuna huyu demu mtaani kwetu alikuja kuishi kwa ndugu yake kwa muda fulani, baada ya kupigwa chini na jamaa yake ikatokea tu nikawa nampa company na ushaurishauri, mara paap...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
SEX A man can travel for eight hours 'just to have sex with a female friend and yet, not love her. Sex makes men act as if they are in love. The eight hours travel sacrifice, gifts bought, hotel...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari? Bila shaka weekend inaenda vyema mpaka muda huu kuna swali nimeukizwa nikashindwa kujibu kwa ufasaha nalileta kwenu wadau nimeulizwa hivi "kwanini dada anakuwa mwepesi sana...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Unaambiwa upewe milioni10 uachane na mpenzi wako umpendae, je utakubali kupokea pesa ukaachana nae au utakataa na ukabaki na huyo mpenzi unaempenda? Mimi nitapokea pesa na nitaachana nae mazima...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Wiki iliyopita nakumbuka ilikuwa ni siku ya Alhamisi asubuhi na mapema nilikuwa naendesha gari nikitokea nyumbani kwangu Tabata Mawenzi kuelekea kazini kwangu maeneo ya Posta huku nikisikiliza...
27 Reactions
275 Replies
22K Views
Hivi ni macho yangu au haya ninayoona ni nje tu? Naona kama vile siku zinavyozidi kusonga, dada/mama/wake zetu wanazidi kuwa "independent" kiuchumi. Unaweza kukuta mwanamke wa late 20s anamiliki...
9 Reactions
85 Replies
6K Views
1.MSHIRIKINA 2.MWENYE KUISALITI NDOA YAKE 3.ASIE NA HURUMA WALA MAPENZI NA MMEWE 4.ASIE NA MACHUNGU NA MALI/PESA YA MMEWE 5.MAMBO YENU YA NDANI KUZINADI NJE NA KWAKILA MTU KUMWELEZEA
17 Reactions
108 Replies
14K Views
Nimebahatika kutembelewa na mkwe wangu wiki kadhaa sasa, nilifurahi nikashukuru kwa kupata ugeni mzito ukizingatia kwamba nakaa na shemeji zangu hapa, mmoja anatafuta kazi mwingine yupo chuo...
41 Reactions
421 Replies
48K Views
Habari za jioni wanajukwaa,kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu ,hivi ni kweli henzi za mababu zetu hukukuwa na watu wenye uume Mdogo(kibamia) au vilikuwepo lkn mabibizetu ndo walikuwa...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Ladies & gents Salaam, Nimeoa mwaka wa pili sasa. Changamoto za ugonjwa zimepelekea tukae na mama mkwe nyumbani tumuuguze. Yapata miezi miwili sasa anatazamia afya yake hapa kwetu. Age yake...
16 Reactions
236 Replies
25K Views
Hi members! I'm looking for a someone who can be a close friend . requirements 1. Be able to get atleast two /three days per month to meet and share with me about life, 2. woman aged at 29 yrs and...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu habarini, aisee Jana nimepata surprise ya mwaka. Kuna huyu mdada hapa mtaani.... Let's call her becky(sio jina lake halisi) Ana supermarket take hapa, nimekua nikimuona zaidi ya mwaka sasa...
31 Reactions
202 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…