Utapokea pesa au utabaki na mpenzi?

Utapokea pesa au utabaki na mpenzi?

Principle girl

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
1,675
Reaction score
1,756
Unaambiwa upewe milioni10 uachane na mpenzi wako umpendae, je utakubali kupokea pesa ukaachana nae au utakataa na ukabaki na huyo mpenzi unaempenda?

Mimi nitapokea pesa na nitaachana nae mazima wala nyuma sitageuka.
 
Ukiona unapokea ujue haujampenda ila umemtamani
 
We mleta mada wewe ukipewa buku 50 tu, utamtema huyo bwana wako Faaastaa.[emoji1321]
 
Unaambiwa upewe mil10 uachane na mpenzi wako umpendae,je utakubali kupokea pesa ukaachana nae au utakataa na ukabaki na huyo mpenz unaempenda?
Me ntapokea pesa na ntaachana nae mazma wala nyuma sitageuka!
Inabidi uendane na mabadiliko ya kidunia

Napokea pesa

Naendelea kuifanya dunia kuwa pahala salama pa kuishi wanadamu
 
Unaambiwa upewe mil10 uachane na mpenzi wako umpendae,je utakubali kupokea pesa ukaachana nae au utakataa na ukabaki na huyo mpenz unaempenda?
Me ntapokea pesa na ntaachana nae mazma wala nyuma sitageuka!
Najua haiwezi tokea, lkn ili kukuridhisha, nitapokea alafu nitarudiana naye, kwa kuwa sioni masharti ya kukataza kumrudia
 
Unaambiwa upewe mil10 uachane na mpenzi wako umpendae,je utakubali kupokea pesa ukaachana nae au utakataa na ukabaki na huyo mpenz unaempenda?
Me ntapokea pesa na ntaachana nae mazma wala nyuma sitageuka!
Ntampa millions 5 na mimi nibaki na tano kwa makubaliano. Th world hs never been fr
 
Namwacha mpenzi ili nipokeee hela, then namrudia nikishapokea maana najua atanielewa tu

Very simple
 
Unaambiwa upewe mil10 uachane na mpenzi wako umpendae,je utakubali kupokea pesa ukaachana nae au utakataa na ukabaki na huyo mpenz unaempenda?
Me ntapokea pesa na ntaachana nae mazma wala nyuma sitageuka!
Kwenu wanawake ni simple, siwezi kukushangaa hata kidogo, ila kwa wanaume kuna ugumu kidogo
 
Kwa mwanadada kawaida sana hiyo ila kwa upande wa kiumeni kuna ukakasi juu ya kukubaliana na kihoja hiki
 
Back
Top Bottom