Karudi kuomba msamaha baada ya miezi miwili je nimsamehe?

Morgan Fisherman

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
1,799
2,074
Nilikuwa na mwanamke wangu baada ya kugundua anachepuka tu nikamtema na kukataa mawasiliano yote na yeye, marafiki zake, na familia yake.Baada ya miez miwili , kantafuta jana magetoni analia anaomba turudiane nikamtazama sikusema chochote nkamtoa nje nkamwacha analia nkasepa zangu


mnanishaurije wadau nimsamehe au nimuulie ngum?.
 
Msamehe tu kwakuwa ni mwanamke wako, ila angekuwa mke ningekushauri umteme tu.
 
Msamaha ni Uungu. Ni uwezo na Uthubutu.

Neno samahani, nimekusamehe ni maneno yenye kheri, fanaka na baraka. Ipo nguvu katika Msamaha. Wapumbavu hawafahamu hili.

Lakini zaidi sana nisingependa kukuweka katika kapu la wapumbavu. Mpumbavu anaishi kwenye kibuyu. Upumbavu ni adui. Vitabu vyote vya dini vimemsamehe mpumbavu. Si hajui afanyalo?.

Huwezi kusamehewa na Mungu kama husamehi. Huwezi kupewa kama hutoi. Huwezi kupendwa kama Hupendi. Ni kanuni za Dunia, ni kanuni za Mungu.

Weak people revenge. Strong people forgive. Intelligent people ignore-Mahatma Ghandhi.

Sishauri umrudie, nashauri umsamehe. Tujifunze kusamehe ili nasi Tusamehewe.

All the best.
 
Kesho akipata mwingne tenaa atakuachaa akakae miezi 6 maana anajua akirudi utamsamehee tuu... Songa mbelee mzee...labdaa umlee mara ya mwisho ummwagee kama alikuletea dharau.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom