Ushauri kwa wanaume wenzangu: Sigara sumu ya penzi

Hamna inategemeana na chakula unachokula pamoja na mazoezi,unaweza ukawa mvutaji na performance ikawa nzuri tu
 
Yaani moshi unapelekwa kwenye mapafu ivi ivi da sijuhi faida ya uvutaji sigara ni ipi
 
Naona unajipa promo,performance iongezeke ghafla hvo?hata recovery period hujasema,je Yale madhara yaliyokufanya upige dak 10 ndan ya mda mfupi huo yameishaje bila kufanya jambo lolote?no zoezi no diet uliyoongelea?acha utapeli ww
 
Hamna inategemeana na chakula unachokula pamoja na mazoezi,unaweza ukawa mvutaji na performance ikawa nzuri tu
Hapa nakuunga mkono. uzuri wa hii kitu unakuwa hupati nyege za ajabu ajabu
 
Dk.40 upo kifuani kwa mwanamke ( kifo cha mende)!

Style zingine umemwachia nani yeroooo? Hebu kuwa serious kidogo....
 
Naona unajipa promo,performance iongezeke ghafla hvo?hata recovery period hujasema,je Yale madhara yaliyokufanya upige dak 10 ndan ya mda mfupi huo yameishaje bila kufanya jambo lolote?no zoezi no diet uliyoongelea?acha utapeli ww
kweli kabisa
 
Back
Top Bottom