Kaka kumkuadia dada

Kaka kumkuadia dada

Doswe Dossena

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
314
Reaction score
557
Habari?

Bila shaka weekend inaenda vyema mpaka muda huu kuna swali nimeukizwa nikashindwa kujibu kwa ufasaha nalileta kwenu wadau nimeulizwa hivi "kwanini dada anakuwa mwepesi sana ku'connect'/kumkuadia kaka yake, lakini sisi wanume kwanini tunashindwa kuwakuwadia dada zetu kwa wanaume wenzetu kama wanavyotukuwadia wao kwa wanawake wenzao mimi nimeshindwa kujibu jibu nulilolitoa ni 'hakuna mwanaume anaeweza upuuzi huo, haiwezekani'.

Nyinyi mnasemaje katika hili?
 
habari..?.
bila shaka weekend inaenda vyema mpaka muda huu.

kuna swali nimeukizwa nikashindwa kujib kwa ufasaha.
nalileta kwenu wadau.
nimeulizwa hvi.
"kwann dada ankuw mwepesi sana ku'connect'/kumkuadia kaka yake,
lakin sisi wanume kwanini tunashindwa kuwakuwadia dada zetu kwa wanaume wenzetu kama wanavyotukuwadia wao kwa wanawake wenzao.
mm nmeshindwa kujib jibu nlilolitoa ni.
'hakuna mwanaume anaeweza upuuz huo, Haiwezekani'.

nyinyi mnasemaje katika hili?.
Wanakukuwadia wewe usiyejua kutongoza
 
Maelezo yako yamenyooka hakuna swali hapo umesema dada anakuunganishia demu kwa wepesi umesahau huyo huyo dada naye anaunganishwa kwa mwingine naye anakuwa demu vile vile kifupi dada ni mwepesi kutafuta wifi
 
Wanawake wawili wakikutana huzungumzia Wanaume asilimia 90% ndo mana inakuwa rahisi ku connect kwa brother


Wanaume wawili wakikutana huzungumzia Mpira ndo mana inakuwa vigumu kuzungumzi Wanawake, wanaume hutafuta wenyewe sio ku connect kutoka kwa mtu flani
 
habari..?.
bila shaka weekend inaenda vyema mpaka muda huu.

kuna swali nimeukizwa nikashindwa kujib kwa ufasaha.
nalileta kwenu wadau.
nimeulizwa hvi.
"kwann dada ankuw mwepesi sana ku'connect'/kumkuadia kaka yake,
lakin sisi wanume kwanini tunashindwa kuwakuwadia dada zetu kwa wanaume wenzetu kama wanavyotukuwadia wao kwa wanawake wenzao.
mm nmeshindwa kujib jibu nlilolitoa ni.
'hakuna mwanaume anaeweza upuuz huo, Haiwezekani'.

nyinyi mnasemaje katika hili?.
Ni rahisi kuchezea nyonyo ya mama lakini sio pwido za baba
 
Mwanamke atamuunganisha Rafiki akee na kaka akee au manzi yeyote sababu anajua Dhamira na moyo wa mwanamke kwenye mapenzi huwa ni Upendo wa kweli... LAKINI sisi wanaums hatuwezi fanya hivyo maana tunajua kabisa sisi Tumejaa tamaa na lengo kubwa la kuwa na demu ni Ngonooo soo hata dada akee akikupa anajua utamlaa afuu umuache..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom