Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Michepuko sio dili hili nalikubali kabisa na wala sio ujanja mana uhuni sio sifa mimi na umri wangu huu miaka 27 natakiwa kuwa na mke ila michepuko imeniandama na wala situmii hela inakuja yenyewe...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu hata ungekua umemkosea nini ukijishusha ukanyenyekea analainika labda awe na mapepo ndio unyenyekevu wako hautagusa moyo wake.... Mume hafokewi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za wikendi wanajukwaa. Mada hapo juu yajieleza vizuri. Kumekuwa na tabia ya wanawake kujipendekeza ama kutongoza wanaume zama hizi. Hivi ni kigezo gani mke wa mtu huangalia kabla ya kuamua...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Wapendwa mabib na mabwana Mim ni mgeni humu na nichukue nafasi hii kuleta haja yangu mbele zenu wana jukwaa. Nafta bint atakae kuwa mke: Mitaan warembo ni wengi sana tena wakali tatizo...
0 Reactions
1 Replies
792 Views
Wakuu, Yani sijui tatizo ni nini kwa wanaume hasa linapokuja suala la kwenda kliniki na mkewe anapokuwa na ujauzito. Nina rafiki yangu kwa sasa ni mjamzito, kama mnavyojua mwanamke akiwa...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Huyu msichana nimentongoza, nilipotaka kuonana nae ili kumpa maneno matamu akaanza kunipa masharti kwamba tuonane sehemu ya wazi. Mzee mzima nikakubali, lakini nilipofika home lile sharti...
3 Reactions
68 Replies
5K Views
Ni kitambo sana tokea nineweka komenti au siredi hapa Kwa kifupi Mwezi wa kwanza nilifanya jaribio dogo kumpima mke wangu juu ya uvumilivu wake na uwezo wa kifua chake kubeba mazito, Mchana...
38 Reactions
161 Replies
15K Views
WAPENDANAO KUZAWADIWA Kampuni ya Push Media Mobile itatoa zawadi ya gari aina ya Vitz lenye thamani ya sh8 milioni kwa mshindi wa kampeni maalum ya kuadhimisha sikukuu ya wapendanao “Valentine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama mkeo anasali kwa walokole au amehamia kusali kwa walokole ndugu yangu hakikisha unamdhibiti sana na mapema kabla hajaharibiwa asali akiwa anajitambua Wachungaji wa Kilokole(wanajiita...
29 Reactions
186 Replies
27K Views
Nimetafakari namna wanawake/wasichana wa kitanzania hasa maeneo ya mijini wanavyovaa mavazi ya kuwaonesha maungo yao kila wapitapo au kutembea katika mitaa. Nadhani kama mila na desturi zingekuwa...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
1.Mke wako ni wa kawaida sana VS dada wa kazi ni mrembo sana na mtaratibu. 2.Mke wako hata ukirudi toka kazini na vimzigo hakupokei anakuchukulia poa hata pole hakuna VS Dada wa kazi ukiwa upo...
7 Reactions
34 Replies
4K Views
Imenibidi niweke huu uzi baada ya kuona kuna uzi mwingine humu unaongelea vibamia iko hivi; ukitaka mtoto wako au mdogo wako asiwe na kibamia hakikisha unamtahiri akishakuwa mkubwa hadi kufikisha...
27 Reactions
295 Replies
49K Views
Habarini mabibi na mabwana, Leo katika mapumziko yangu mafupi baada ya mlo wa mchana katika kimgahawa fulani na kutokana na uzoefu wa macho na masikio katika kuona na kusikia kuhusu jambo hili...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Asikuambie Mtu siku hizi Wanawake wanaoibiwa ama Waume zao au Mabwana zao au Wapenzi wao wenye malengo nao ' wamebuni ' aina mpya ya ' ukomoaji ' hasa kwa wale Wanawake ambao wamethibitisha kuwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Yaani wanawake wana matatizo hasa wenye mimba sijui ni deko au nini, Tunaishi Kimara mwisho lakini kipindi ana mimba akasema nimfatie chips za Segerea Tabata. Eti anataka hizo za kwa mudi...
16 Reactions
194 Replies
21K Views
Kuna mada moja tulikua tukijadili mimi pamoja na wenzangu bila mafanikio Topic ni kuhusu ndoa za watu wa dini tofauti ambapo walioshindwa kubadili dini hufanya yakiserikali ..swali ni kwamba je...
0 Reactions
1 Replies
599 Views
Kiafrika, Mwanaume atabaki kuwa kiongozi wa familia hata kama utakuwa umezidiwa na mwanamke katika kila idara kwa mahusiano yenu ni aibu na fedheha kubwa kwa kijana wa kiume kubadili dini either...
14 Reactions
57 Replies
10K Views
Karne Hii hizi tafiti hazitatuacha salama. Kutokana na utafiti uliofanywa na The State University of New York Inasemekana kuwa hakuna madhara kiafya kuzama chumvini na hakuna tatizo lolote kama...
18 Reactions
199 Replies
43K Views
Kama mjuavyo,nina watoto watatu wa mama tofauti,wa kwanza anaitwa SEAN,wa pili anaitwa TRAVIS na watatu anaitwa MOUREEN, kati ya hao wanawake hayupo nitakaemuoa kwa kweli japo wote ni visu hatari...
16 Reactions
240 Replies
71K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…