juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Imenibidi niweke huu uzi baada ya kuona kuna uzi mwingine humu unaongelea vibamia iko hivi; ukitaka mtoto wako au mdogo wako asiwe na kibamia hakikisha unamtahiri akishakuwa mkubwa hadi kufikisha umri fulani hivi kama miaka 10 au kama amesharefuka vya kutosha.
Maana ukitahiri akiwa bado mdogo sana huwa kike kidudu chake hakirefuki(fanya utafiti) na pia usimveshe nepi au pampasi au chupi yaani vitu hivyo huwa vinambana kiasi kwamba hakipati eneo la kupumua na kurefuka na mwishowe kinadumaa au kikirefuka basi ujue kitapinda na lile joto linamfanya kikose uwezo kabisa wa kukua,mveshe bukta au kaptura ili uume uwe unakua.(fanya utafiti kama huamini)