Enyi Wanawake mnaoibiwa Wanaume / Mabwana hamna uchawi mwingine hadi muutumie huu tu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,466
108,621
Asikuambie Mtu siku hizi Wanawake wanaoibiwa ama Waume zao au Mabwana zao au Wapenzi wao wenye malengo nao ' wamebuni ' aina mpya ya ' ukomoaji ' hasa kwa wale Wanawake ambao wamethibitisha kuwa wanawaibia hao Wapenzi wao ambapo huwaendea kwa ' Waganga ' na ' Kuwaroga ' kwa kuwafanya Wablidi / Watumike kila uchao.

Nilipata bahati ya Kuongea na Wanawake wawili watatu kuhusu hili na nakumbuka walichoniambia ni kwamba hakuna ' adhabu ' kali, katili na mbaya ambayo Mwanamke yoyote yule duniani hasa wa Kiafrika asiyoipenda kama ' Kurogwa ' ili awe ' anablidi ' kila siku hali ambayo itampelekea awe anavaa UpendoPeneza / Pedi kutwa.

Wanawake wengi sana wa hapa mjini wamekuwa Wahanga wakubwa wa aina hii ya Ulozi / Uchawi wanaofanyiwa na Wanawake wenzao wanaowahisi ' wanawaibia ' Wapenzi wao. Hivi ninavyotiririka na kuserereka na huu ' uzi ' kuna Mdada mmoja tumetoka kumpakiza katika moja ya Gari zinazopeleka Magazeti Mikoani ili aende ' Kijijini ' Kwao nae ' akaaguliwe ' na Bibi zake ili arudi kuwa katika hali yake ya kawaida kwani huu sasa ni mwaka wa pili unakatika kila siku inabidi awe tu ananunua na kutumia UpendoPeneza / Pedi katika ' Kujisitiri ' na ilifika muda hadi akawa amekata tamaa kabisa na kutaka ' Kujiua ' ila juhudi zangu za Kisaikolojia na kumfanyia ' Counseling ' ya Kutukuka zimeweza kusitisha mpango wake huo wa kujitoa ' Uhai ' aliotaka kushirikiana na Israeli.


Namalizia kwa kuwaulizeni nyie Dada zangu mliopo humu JamiiForums hivi hamna kweli uchawi ' mbadala ' wa Kuwarogea Wanawake wenzenu ili washike adabu zao mpaka tu ' muwaroge ' kwa kuwafanya ' Wablidi / Watumike ' 24/7? Hivi nyie hamna huruma kwa jinsi hao Wanawake wenzenu wanavyoteseka na kuingia gharama za kila siku tu kununua MiupendoPeneza / Mipedi na kuitumia?

Ushauri wangu mdogo tu Kwenu ni kwamba naona kuliko ' Kuwaroga ' Wanawake wenzenu hao ili wawe ' wanablidi ' mfululizo basi ni bora tu ' mkawaroga ' wasiwe wanashika ujauzito / mimba kwani nadhani hiyo nayo itakuwa ni ' adhabu ' tosha Kwao kuliko hiyo nyingine mnayoipenda ambayo binafsi naiona ni kama vile ni ya Kikatili / Kibedui mno.

Nawasilisha.
 
Tunaoa wanao jitambua
wasio jitambua wajioe wenyewe
 
Nimekishuhudia sana hicho Kitu Mkuu tena hasa huku ' uswahilini / uswekeni ' Kwetu na Wanawake wanateseka mno na hiyo Ndumba / Fusho. Yaani huyu Mdada niliyekuambia imebidi tumsafirishe Kwao usiku huu ni Mrembo / Totooz ya maana hata MBITIYAZA, Shunie, Sky Eclat, Miss Natafuta, Donatila, Evelyn Salt na miss charming hawatii mguu na kawaacha mbali sana lakini ameteseka hadi anatia huruma. Wanawake wanatesana mno Mkuu!
tunatesana mno wakati anaesababisha ni mwaamke mwenyewe. Kumnyima haki ya ndoa nk.
 
tunatesana mno wakati anaesababisha ni mwaamke mwenyewe. Kumnyima haki ya ndoa nk.

Kila nilipokuwa nikisikia kwamba Wanawake huwa hawapendani nikawa siamini na hadi kukataa lakini kupitia tu hii ' experience ' sasa ni rasmi nimeamini kuwa Wanawake mna roho mbaya, ngumu na ni wakatili kabisa. Hivi Mwanamke mwenye Utu unaweza ' Kumroga ' mwenzio kweli ablidi / atumike kila siku?

Dada zetu badilikeni na muogopeni Mwenyezi Mungu.
 
Mimi ukimloga hivyo siachi nahamia 0713 naendelea kama kawa na wewe unaondoka hapo kwangu kabisa
 
Kila nilipokuwa nikisikia kwamba Wanawake huwa hawapendani nikawa siamini na hadi kukataa lakini kupitia tu hii ' experience ' sasa ni rasmi nimeamini kuwa Wanawake mna roho mbaya, ngumu na ni wakatili kabisa. Hivi Mwanamke mwenye Utu unaweza ' Kumroga ' mwenzio kweli ablidi / atumike kila siku?

Dada zetu badilikeni na muogopeni Mwenyezi Mungu.
Me biafsi siwezi fanya hivyo. Ukute na mwanaume nae kicheche. Utaloga wa ngapi
 
Back
Top Bottom