Claret
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 758
- 989
Habarini mabibi na mabwana,
Leo katika mapumziko yangu mafupi baada ya mlo wa mchana katika kimgahawa fulani na kutokana na uzoefu wa macho na masikio katika kuona na kusikia kuhusu jambo hili nimeona niulize mtazamo wa jambo hili lilioletwa na sayansi na teknolojia na kuathiri bibi, mama, dada, wake na shangazi zetu.
Je, Kuna mume ama wanaume ambao bado wanasifia nywele za wake ama wachumba zao ilihali wakijua 95% za mionekana yao kichwani ni nywele bandia?
Je, Mwanamke unajisikiaje ukisifiwa una nywele nzuri wakati si zako bali za kutengeneza?
Je, Wanaume wenzangu mwajisikiaje mkiwa kitandani mkibembeleza hao bebi wakubwa na kuwashikashika nywele kushtukia si "original"?
Karibuni mteleze kwenye huu uzi. Kwa upande wangu nikishika tu hizo nywele napata chafya. Ni bora niwe na mke kipara kuliko yule anayeondoka asubuhi kama Irene akirudi jioni nyumbani anaonekana kama Penelope Cruz waweza kujua ni mgeni kakutembelea kumbe mkeo.