Msaada tafadhali wakuu

Msaada tafadhali wakuu

muntaka

Member
Joined
May 22, 2017
Posts
78
Reaction score
35
Kuna mada moja tulikua tukijadili mimi pamoja na wenzangu bila mafanikio

Topic ni kuhusu ndoa za watu wa dini tofauti ambapo walioshindwa kubadili dini hufanya yakiserikali ..swali ni kwamba je mwanaume wakikristo anaruhusiwa au anaweza kuoa mwanamke wa kiislamu na je ushawahi ona? Ahsanteni
 
swali ni kwamba je mwanaume wakikristo anaruhusiwa au anaweza kuoa mwanamke wa kiislamu na je ushawahi ona?
Ndio
Zipo ndoa za namna hii.
Ambapo kila mmoja anabakia na dini yake.
 
Back
Top Bottom