Habari wakuu
Nina tabia ya kumuudhi mama watoto wangu yaani hii Tabia nimeanza tangu muda mrefu naanzia haka kamchezo, ilikuwa lazima nikikutana na girlfriend wangu nimuudhi, yaani nitamchokoza...
Jamani mwenzenu nimejawa na hofu kubwa ya kuibiwa mpenzi wangu, coz amebadilika sana nikilinganisha na awali, na muda mwingi anaficha sana simu yake tofauti na mwanzo wa mahusiano yetu, wadau...
Sina mpenzi yoyote natongozwa na wanaume wengi tu na ninawakubali lakini hakuna kinachoendelea kati yangu na wao bado nipo mpweke.
Nifanyeje niwe na mtu permanent wa kwangu mwenyewe?
Kwa kuanza na wanaume nimegundua haya;
WANAUME
WAREFU walio wengi;
-wanawasaliti sana wake zao.
-ni wababe na wakorofi kwa wake zao japo katika jamii inayowazuka huwa ni Wapole...
Habari wana bodi mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31,sijaoa nina tatizo ambalo linahitaji ushauri wa kina kama miezi sita iliyopita nilitokea kumpata mdada ambaye nahitaji kufunga nae pingu za...
1. Ngono haimfanyi mwanaume asikuache, hata ukukuruke vipi, jikwatue kiasi gani kama hajaona quality za kuwa mke atakuacha tu.
2. Mwanaume anaekupata kwa vile alitumia pesa zake kwako hatakaa na...
1. Mwanamke mwenye nywele ndefu unashauriwa kuzielekeza nywele zako kando mbali na sura ya mpenzi wako mkiwa mmelala namna hii. Itamfanya mwenza wako kuwa huru wakati amelala.
Funga nywele zako...
Nawasalimu sana wote!
Nipenda kwa wale wenye muda wao mzr leo weekend pumzikieni kwenye hii ili kuboresha unachokifaham katika rlshp yako!
Mwanasaikolojia mmoja aitwae _William James aliwahi...
Wakuu habarini za jioni
Kuna swali linanitatiza akili
Je, kwa wanandoa ni lazima kufanya mapenzi kila siku ?
kuna baadhi ya wanawake hawapendi kugegedwa kila siku lakini wanaume wanataka, na pia...
Hodi hodi humu ndani naomba mnipe siri ya namna yakufanya tendo la ndoa mzunguko zaidi ya mmoja, yaaani kupiga mara mbili au tatu inahitaji ujuzi au vitu gani?
Mkinipa hii siri natumaini mtakuwa...
RIWAYA: MPANGO WA KANDO
NA: George Iron Mosenya
SEHEMU YA 1
KADRI karandinga lilivyokuwa linazidi kushika kasi ndivyo akili yake nayo ikazidi kuamini kuwa hakuwa katika ndoto tena bali ni kweli...
Mwanaume anayempenda mke/mpenzi wake kwa maneno na matendo huku akimpa heshima mke/Mwenzi wake jua ni matunda ya malezi bora ya Mama yake mzazi na usimamizi wa Baba bora .
Kuna page nyingi...
Leo waraka wetu wa kiumeni unaenda vyuoni pamoja na maofisini kusambaza mbegu ya Upendo na kuamsha vitu muhimu kwenye ubongo na vifua vya wanaume wenzetu Tanzania Bara na visiwani.
Usimsomeshe...
Za mihangahiko wana MMU??!!
Naomba Leo niongee na kaka zetu wakubwa wetu hata Baba zetu...
Ivi linapokuja swala la kuoa mnakosea wapi asee?? Au mnaangalia vigezo gani??
Kwanini umuoe mtu...
Mwanaume Mmojaa alikuwa anamlazimisha mkewe kufanya mapenzi gizani kwa muda wa miaka kumi,ndipo siku moja mwanamke uzalendo ukamshinda na kuamua kuwasha taa ila ghafla alipigwa na bumbuwazi baada...
Wadau Nina girlfriend wangu tuna Mwezi mmoja yeye Ana miaka 27 Mimi Nina miaka 29 lakini cha ajabu ananiamkia shikamoo akiwa na rafiki zake lakini rafiki zake wanajua Mimi ni shemeji yao. Hivi...
KUNA HUU UJUMBE NIMEUPATA MAHALI, NAPENDA KUSHARE NANYI NDUGU ZANGU.
NAOMBA NIONGEE KIDOGO NA WANAUME MLIOOA
(Kopi kwa wanawake mlioolewa)
Kadiri wanawake wanavyopambana kujikwamua kiuchumi...