Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Siku hizi kuna hili neno ki benten ambalo kijana mdogo aki date na mwanamke mwenye umri mkubwa anaitwa ki benten .. sijajua origin yake n wapi na kwann watu waite ki benten kwann isiwe ki bennine...
4 Reactions
46 Replies
14K Views
Habari zenu Mimi na swali katika mapenzi uwe msichana au mvulana unavutiwa na mtu mfupi au mrefu? Kwamaana wengine wameoa wake warefu wengi wafupi . Ila napenda kujua mitazamo yenu pia .
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari za usiku wapendwa I hope mko poa jamani ni bora tuu nife kuliko kuteseka hivi. Niende straight to the point. Ishu ni hivi, mimi naishi Arusha na nilikuwa nafanya kazi A to Z (kwa...
6 Reactions
71 Replies
10K Views
Ulikuwa na mume/mke, akakuacha bila bila sababu yoyote ya msingi, baada ya miaka kadhaa kupita anakutafuta anakuomba mrudiane, kwakuwa ulikuwa unampenda sana unamkubalia mnaenda ANGAZA kucheki...
2 Reactions
67 Replies
7K Views
Nakumbuka nilikua mtukutu hatari na matukio kibao nilikua nafanya plus suspension za kutosha.Kuna siku nilibeba begi kubwa la nguo nkabebea daftari mbili tu na pen.Nilichezea bakora ni hatari.
2 Reactions
9 Replies
2K Views
My Love, How we met and how we came to be is a memory I cannot forget.How you gave yourself completely to me,trusting me and allowing me to hurt you.How you endured all my cravings and high...
1 Reactions
3 Replies
705 Views
Anyeonghaseyooooooooooooooooooooooooooooooo!!! Naomba nieleweke kabla ya wote, shile ni kitu kizuri sanaaa,Mwalimu alisema kuna maadui 3 wakubwa kwa taifa nao ni Uasikini, UJINGA na maradhi. Kwa...
3 Reactions
92 Replies
9K Views
Leo ndio siku tuliyoenda katika kuwafariji na kuwakumbuka watoto yatima, katika kituo cha Iwambi Mbeya, jina la kituo ni "BREAD OF ORPHANS" kilipewa na wajerumani walipofika kituoni miaka ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Finally, ladies with curves get a little love! Utafiti uliofanyika hivi karibuni kutoka University of Mexico umeonyesha kuwa wanaume wenye wanawake wanene au waliooa wanawake wanene wana furaha...
16 Reactions
239 Replies
34K Views
Jamani kuna mke wa mtu kila siku ananitumia text mara asubuh njema, mara jioni/usiku mwema. Sasa sijui mumewe hamgegedi vizuri maana huu usumbufu sisi vibenten vya kudandia wake za watu ndo...
4 Reactions
59 Replies
10K Views
Za jioni walimwengu mnaopita jukwaa hili, kuna jambo dogo ambalo nataka niwahadithie ambalo kwa siku za karibuni linaninyemelea. Katika nyumba ninayoishi kuna kaya tano ambapo kila moja...
14 Reactions
204 Replies
17K Views
Habari, JF naomba kuuliza hivi ni sahihi kwenda kuishi ukweni endapo mwenzi wako wa kiume amesafiri kikazi/ kwa muda fulani ?? Yaani akiwa kama mchumba/mumeo????
1 Reactions
57 Replies
9K Views
Nimejikuta leo nakumbuka mbali, enzi izo nipo CoET napiga Civil pale UD Nakumbuka ilikuwa paper ya Teacher anaitwa Dr Shirima-Mechanics of Materials (SC 201) plae A21, waliosoma UDSM watakuwa...
9 Reactions
206 Replies
15K Views
Utakuta binti/mwanamke umezalishwa na mume wa mtu,halafu unatamba mitaani eti unapendwa sana na Baba Naniliuu, angekupenda si angemwacha mkewe akakuoa wewe?akishajua uzuzu wako anakugeuza kiwanda...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Swali langu mimi ni moja tu kwenu wala sitaki kuwachosha kivile sana nimekuwa mtu mwenye bahat ya kukutana...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hello ladies and gentlemen, Allow me to take this opportunity and give you a brief of what happens to Kasie yesterday evening. Hili tukio limenifikirisha na kunifanya niwatazame wanaume kwa...
9 Reactions
106 Replies
6K Views
Neno la mahaba kabisa hili. Unapolitamka hisia hukupeleka mahali fulani pa faragha kwenye kiza fulani chumbani kitandani ukiwa na mwenza wako na viguo vyepesi au tupu kabisa. Ni ngumu sana...
26 Reactions
239 Replies
32K Views
Ngono ni mashindano yasiyokuwa na mshindi. Mashindano ambayo wengine hutumia dakika tano wengine zaidi ya masaa matatu lakini baada ya kupizi ndio mwisho wa safari. Wengine hufanya kwa ushindani...
4 Reactions
27 Replies
6K Views
Salamu ama baada ya salamu mimi ni mzima wa afya, hofu ni juu yenu nyie mlio mbali. A upeo wa macho yangu.(old school wanajua hii salam). Niende moja kwa moja kwenye mada. Kutoka kwenye uzoefu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu, Kuna kitu watu hawajui, ile kitu ni kama mpira wa elastic, unavutika. Sasa wewe jitie kidume utake kushindana, utaumia wewe. Kwanza huwezi kumkomoa, anajifanya kulia ili...
12 Reactions
75 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…