Wale Tuliowahi kuwa watukutu shuleni tukutane hapa.

MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,826
5,451
Nakumbuka nilikua mtukutu hatari na matukio kibao nilikua nafanya plus suspension za kutosha.Kuna siku nilibeba begi kubwa la nguo nkabebea daftari mbili tu na pen.Nilichezea bakora ni hatari.
 
Haa ha ha... Kunaa Jamaa mpakaa wakabandikaa Picha zakee xul kwamba ni MOST WANTED
 
Dah. Kuna mwalim mfupi alikua anapenda kwel kutukimbiza tukiwa tumetoroka au kubana kwenye kijiwe chetu cha KAMBODIA..... (Twiga sec sch00l)
 
Nikuwa mkali wa kuzamia safari yoyote ya shule sikuwa nalipia mchango ila lazima niende
Kali kuliko nilizamia safari ya kwenda kreta ngorongoro
Gari iliondoka shule moshi saa 10 alfajiri niliibukia mitaa ya uwanja wa ndege
Waalimu walishangaa kuniona nipo kwenye gari
Nilikuja kusomewa kesi mbele ya shule na kupigwa bakora za kwenda
Na kuambiwa lazima kulipa hiyo hela ilikuwa ni elfu 25
 
Yaani sijawahi kusifiwa shule kwa lolote, sijawahi fanya zuri shuleni

Vitabu vya maktaba nimeiba sana kuuza.

Shule nakuja siku ninayotaka na kutoroka ni muda wowote ninaotaka.

Kuna siku mpishi alizingua nikapiga na mwiko ulikua foleni ya chakula alizimia hapohapo, nilikimbia kama upepo sekunde hiyohiyo uhamisho ulinifata nyuma.

Kuna siku nilichapa mwalimu viboko vya kutosha ile kushtuka nilishakimbia muda

Yaani daah acha kabisa nilikuwa mtukutu
 
Back
Top Bottom