Bugals Edward
Member
- Jan 13, 2018
- 37
- 7
Leo ndio siku tuliyoenda katika kuwafariji na kuwakumbuka watoto yatima, katika kituo cha Iwambi Mbeya, jina la kituo ni "BREAD OF ORPHANS" kilipewa na wajerumani walipofika kituoni miaka ya nyuma,...
Kituo kilianza mwaka 1995, kilichukua watoto wa mitaani, wavuta bangi, lakini kituo kiliweza kuwabadilisha wote, na kituo kiliwasomesha.
Kilianza na watoto 14, wawili kati ya hao walienda mbele ya haki
Na sasa waliolelewa kituoni pale kuna wanajeshi, madokta, walimu na wengine wengi, wanamaisha mazuri sana kama sio wao, EPE YOUTH tukifurahi pamoja na watoto