Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

BONIFACE BIRAGE KOMBORA KIOTANI-37 Tulipoishia Kilua agundua maadui wa taifa lake na wahujumu rasilimali za taifa.Atafanyaje kuwajua nakuwadhibiti.Je,ataweza kuwa fahamu wote waliohusika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MOYO WANGU-1 HANA haraka anapotembea, ukimtazama anaonekana kujiamini sana. Tabasamu mwanana linaupamba uso wake lakini mavazi yake yanaonyesha asivyo mtu wa dhiki! Hata kama siyo sana lakini...
0 Reactions
17 Replies
41K Views
Naomba nikiri tu kwamba mimi ni kati ya watu waliofanikiwa kuzurura nchi nyingi za Africa na kuishi nchi mbalimbali naomba niweke wazi kwamba japokuwa wanawake wa kibongo wanachangamoto mbalimbali...
14 Reactions
59 Replies
6K Views
Ninasumbuliwa na tatizo hili la kuchukia wanawake maishani mwangu, hata kama anipende kiasi gani, hata kama ana uwezo wa kifedha kiasi gani, hata awe na sura nzuri kiasi gani, hata awe na kazi...
6 Reactions
17 Replies
4K Views
Hii dunia watu wanapitia matatizo mengi sana! Hasa migogoro kwenye mahusiano na ndoa. Watu wana misongo ya mawazo mno. Mfano mzuri ni mahusiano ya mastaa ambayo huwa wanayaweka wazi mitandaoni...
10 Reactions
47 Replies
6K Views
Kwa uzoefu wangu mpaka muda huu nimebahatika kutembea na wadada kadhaa wenye makalio makubwa, baadhi niliwapenda toka moyoni ila wengine walinivutia tu na misambwanda yao. Kutokana na utafiti...
2 Reactions
15 Replies
11K Views
Still the one by shania is all I can say about my lovely husband .
4 Reactions
55 Replies
4K Views
Ni utafiti / uchunguzi ambao niliamua kufanya taratibu na kiumakini sana karibu katika Hospitali chache Kubwa na zile za Kati hasa kupitia Madaktari Bingwa ( Specialist Doctors ) wa Uzazi na...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye mada ya wiki hii ambayo inahusu mambo 12 wasiyoyapenda wanaume kwa wapenzi au wake zao. 1. KUJIPAMBA KUPILIZA Mwanamke kama mwanamke ni mapambo ili awe...
8 Reactions
60 Replies
14K Views
Habari za mihangaiko wana JF, Leo nimekaa na kuwaza jinsi wana dada wanavyotusumbua pindi tunapokua kwenye mizunguko yetu ya kila siku. Wangapi walishakutana na hiki kituko? Unakuta upo zako kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini wazazi wenzangu na vijana pia, Embu tujiulize ni wangapi wenye watoto wao ambao wanapenda kuona wakitamanisha wavulana njiani? Jibu ni hapana, ila kulingana utandawazi ambao...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Wasaaalmu, Nianze moja kwa moja kwenye tatizo, nimekuwa nikiumizwa kwa kiasi kikubwa na hali hii. Mke anakuwa na visa au sababu ndogondogo za kuwa na ugomvi na ndugu zangu mara wanapotutembelea...
3 Reactions
55 Replies
5K Views
Mark Scott-Crossley Marehemu Richard Mathebula Simon Mathebula Richard Mathebula na Simon Mathebula Masalia ya nguo na mifupa ya Nelson Chisale kaburi la Nelson Chisale Mnamo mwanzoni mwa...
15 Reactions
37 Replies
6K Views
Licha ya kuwepo kwa kasumba au imani kuwa huwezi kupata mke katika mitandao ya kijamii,mimi napingana nalo sababu waliomo humu ndo haohao tunaokutana nao katika mazingira yetu ya kawaida hivyo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Licha ya kwamba makubaliano ya ndoa hufikiwa na watu wawili, mwanaume na mwanamke lakini ni ukweli usiopingika kuwa mwanaume ana nafasi kubwa ya kuubeba uhusiano ufike kwenye hatua ya ndoa...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Eti kwanini wanaume ndio huwa wanapewa asilimia kubwa kama wamiliki wa watoto wanao zaliwa? Ikitokea mimba mwanaume ndio anapewa lawama za kwanza na majukumu yote ya kulea mtoto kama mhusika mkuu...
5 Reactions
99 Replies
13K Views
Niajeee! Najua hii ni wiki ya valentine's day ila naomba tuwe makini katika mazingira yetu ya kupigana kazi: 1. USIENDE GUEST HOUSE iliopo karibu na BAR maana kuna mechi ya mpira kubwa sana 2...
6 Reactions
146 Replies
11K Views
This is what they call instant love..... I'll try my level best to put actions only.... He wired.... dress a smile on Kasie's face. I receive a parcel... lovers gift inside. Ticket to where he...
7 Reactions
54 Replies
4K Views
Unakuta mwanamke ameolewa na anapewa mahitaji yote na muwe wake lakini hatulii kwenye ndoa yake, anaanza kurukaruka na wanaume tofautitofauti ambao hawamsaidii chochote zaidi ya kumpotezea tu muda...
3 Reactions
87 Replies
8K Views
Ukiwa na mke ambaye ni mgumu sana kuheshimu, kushuka au kunyenyekea "to be humble and submissive" na kila akiambiwa kuhusu umuhimu wa hilo lazima atoe sababu za kujitetea kwanini hafanyi hivyo na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…