JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,201
Tips mara nyingi hutolewa kwa wachumba/wapenzi yaani ile mnaagana baada ya kukutunuku una mkatia wekundu kadhaa bila hata kukuomba.
Bahati mbaya wengi husitisha hizi tips mara wawili hao waingiapo kwenye ndoa sasa ushauri nakupa pokea, kila anapokutunuku kesho yake unamkatia wekundu kadhaa za matumizi yake binafsi.
Ukimzoeza hivyo, yaani hata kama anakula, ukimuita chumbani ataacha msosi aje kukuhudumia
Source: Ni mimi mwenyewe nimesikia kijiweni.