Wanawake nisaidieni majibu

Wanawake nisaidieni majibu

Bornventure

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2017
Posts
529
Reaction score
523
Kwamfano umegombana na mmeo, baadhi ya wanawake kwa hasira hutoka nyumbani usiku na kulala kusikojulikana , naombeni mnambie je Mara nyingi uzoefu unaonesha uwa wanaenda kulala wapi ??
 
Kwamfano umegombana na mmeo, baadhi ya wanawake kwa hasira hutoka nyumbani usiku na kulala kusikojulikana , naombeni mnambie je Mara nyingi uzoefu unaonesha uwa wanaenda kulala wapi ??
Hiyo ni gear tu yakuchepukia Hanna lolote
 
Mwanamke mwenye kujiheshimu hawezi toka kwake usiku akalale kusikojulilakana,ati kisa kagombana na mmewe
Hata apigwe mangumi hawezi kutoka atasubiri kukuche ndio afungashe
Mwanamke mwenye kihede mswede hata akielezwa kitu kwa ukali kidogo tu,utamwona ashafika mlango wa kutokea nje[emoji1321]
 
Kwani anaporudi kesho yake huwa anakwambia ametoka wapi au unamuogopa hata kumuuliza?
Na je, linapotokea hilo huwa unatoa Taarifa kituo cha Polisi, Nyumbani kwao ama unauchuna?
Siku asiporudi, hao waliokukabidhi Binti yao wakija kukuuliza utajibu nini?
 
Wanaenda kulala kwa ndugu zao, hii mara nyingi nimeiona.

Sasa wewe unapewa kipigo unataka bado uendelee kulala humo humo?

Tuache kuwahukumu eti wanaenda kulala kwa michepuko.
 
Mjue kutofautisha michepuko na wake.

Hivi unaondokaje nyumbani kwako usiku.

What if anything happens to you. How will your kids live?

Or what if tragedy befell your kids, How will you live?
 
Unakuta anasema ooh nililala guest ya na nilimjulisha rafiki yangu, ilikua hasira tu nawe kwa kutotaka kuendeleza ugomvi bcoz amerudi alafu yuko very humble unaamua kupotezea ila unajawa na mashaka !!
 
Ni dharau kubwa sana. Nasema ivyo japokuwa sijaoa. Ni heri aondoke mume na siyo mke. Nimeshuhudia mara nyingi mume na mke wakigombana mume ndio huwa anaondoka na anarudi usiku sana au kesho yake. Hapo wanapeana muda wa kuyatafakari na kutuliza hasira zao.
 
kihede mswede
Hapo sasa.
Mwanamke mwenye kujiheshimu hawezi toka kwake usiku akalale kusikojulilakana,ati kisa kagombana na mmewe
Hata apigwe mangumi hawezi kutoka atasubiri kukuche ndio afungashe
Mwanamke mwenye kihede mswede hata akielezwa kitu kwa ukali kidogo tu,utamwona ashafika mlango wa kutokea nje[emoji1321]
 
Yani mwanamke ushindwe kuhandle kupishana maneno na mimi kwa masaa kadhaa mpaka uondoke? Kwani nimekupiga au kukufanyia physical violence yoyote?
 
Swali wameulizwa wanawake... Leo ngoja niwasome wanawake wa JF
 
Wanalalaga kwa mchepuko,huo ushahidi ninao kbs

Kuna demu mumewe anajua mtt ni wake kumbe ni wa mchepuko,na hio ni baada ya kugombana usiku na mshikaji demu akaenda kulala kwa mtu ambae alikuwa na mahusiano nae wakati yupo shule,mbaya zaidi dem alikuwa kwenye danger zone,siku iliyofuata demu karudi kwa jamaa yake lkn tayari ana mimba,mpaka kesho jamaa anajua ni mtt wake kumbe sio wake japo jamaa haishi na huyo mwanamke walikuja kuachana
 
Mke mwenye busara hawezi ikimbia nyumba yake kisa kapigwa na mumewe muda wa usiku. Atakachokifanya cha zaidi ni kwenda kulala chumba cha watoto (kama anao), aidha chumba cha wageni (kama kipo), au sebuleni ili tu kuipisha ghadhabu ya mumewe isiendelee kumuwakia. Vile vile nae kuzituliza hasira zake.

Kwa mwanamke akimbiliae nje ya nyumba yake pindi apigwapo na mumewe huwa anakimbilia kwa ndugu/rafiki wa jinsia moja kama wanaishi karibu nae.

Ni ngumu sana mwanamke aliyeolewa kukimbilia kwa mchepuko pindi apigwapo na mumewe, hata kama ana mchepuko.
 
mm naenda hotelini kulala pekeangu napata muda wa kutuliza asira bas
 
Back
Top Bottom