Mrejesho wa Valentine Day

Mrejesho wa Valentine Day

monaco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,184
Reaction score
1,780
Daaa Kichwa cha habari kipo wazi sana hebu tupe Mrejesho wa Valentine day ilikuwaje kwako mi binafsi leo nlikuwa naumwa tangu Jana nilikuwa kitandani na malaria namshukuru Mungu naendelea Ku recover slowly sijui wewe ilikuwaje Promised meet?
Au Offer 2,3?,Majivu?
 
Sitaki hata kuisikia mana promise yangu ilishavunjika tangu saa mbili, now nimelala tuu mkuu.
 
Mimi bado natafuta chura kwa ajili ya Valentine day!
Mkuu Umeniacha hoi hahaha Kwani Mzigua hana Chura Mkuu...
Au unatafuta ilionona ya kuipiga Kofi.....[emoji30] [emoji30] [emoji2] [emoji6]
 
Mkuu Umeniacha hoi hahaha Kwani Mzigua hana Chura Mkuu...
Au unatafuta ilionona ya kuipiga Kofi.....[emoji30] [emoji30] [emoji2] [emoji6]
Itakua hanitaki huyu anataka kubania nafasi tu wenzie. Chura wa nini wakati mi nafuga hao wengi tu.
 
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

2b5e023b61d696d7feb65f0230ed769c.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom