Maamuzi gani magumu umewahi kufanya ukiwa kwenye mahusiano?

Mwatulole

Member
Oct 16, 2017
54
191
Ni maamuzi gani magumu ambayo umewahi kuyapitia au kuyafanya kipindi cha mahusiano ambayo huwezi kuyasahau kamwe.
 
Ni maamuzi gani magumu ambayo umewahi kuyapitia au kuyafanya kipindi cha mahusiano ambayo huwezi kuyasahau kamwe.

Nilimfumania Demu wangu na nikataka kumsomea ' albadiri ' ila siku ya kusoma ' albadiri ' ilipofika tu nami nikapewa sharti kuwa ili ' albadiri ' ile ikubalike na Mimi nahitaji kusema ukweli wangu kuwa sijawahi ' Kumsaliti ' huyo Demu wangu la sivyo itanirudia na nakumbuka niliomba ile ' albadiri ' ikosomwa tu Mbunye yake itoweke na asiwe nayo kabisa hivyo nikaambiwa kama endapo itanirudia basi na Mimi pia Mkuyenge wangu utayeyuka nikawaambia zoezi hilo limenishinda kwani ni bora Viungo vyangu vyote ' vinyofolewe / vitoweke ' ila siyo Mkuyenge wangu huu. Mwanaume kukosa Mkuyenge ni sawasawa na Marekani bila CIA.
 
Nilimtandika vichwa na mabanzi ya kutosha, baada ya kufuma sms za mchepuko wake
 
Nilimpenda sana, ila yeye vituko kila siku, ugomvi kila siku.
Ilikuwa bi vigum but for my own safety ilinibidi nifanye hivyo. Sijutii yale maamuzi mpaka leo
 
Me nakumbuka x wangu tu alikuwa ndo HR alipandishwa kuwa head wa idara nkajua huu ni moto nkaresign kiroho safi
 
Nakumbuka nilimtandika demu wangu club mpk akazima nikalala polisi
 
Nilipenda mtu kufa! Nilikuwa radhi kwa lolote mradi tu niwe naye......

Lakini alichonitendea....hayasemeki
So nikaamua maamuzi ngumu ya kumwacha aende....

Astaghfirullah!..... kilichonipata sasa......
 
Nilichange gia angani kama kamanda Mbowe kwa kimwana flani matata sana... mpaka leo huwa nikiikumbua ile move najishangaa... Ila nipo happy coz manzi mwenyewe alikua haja tulia na alikua shuhuda wa matendo yake...
But sikuidhulumu nafsi yake wala yangu... Ila inauma sana.
 
Alinizingua nikato.mba dada ake, nae wakashirikiana kunilea za kuleta nikmkung' uta mama yao ubor mmoja wa hatari sana ,akawazima na mkwara mmoja wa haja ikawa najibadiliahia navyotaka mwenyewe
 
Kumuacha mtu ambae nlkua nampenda kutoka chembe ya moyo wangu na nlimpenda kwa akil zangu,nguvu zangu na kila kitu changu and sitamsahau bcoz he was my everything but tabia zake zlnishinda jamani
 
Kumuacha Be@ kikwel nilimpenda ila nashukuru machungu yamepungua kwa kumtafunia rafiki zake watano nashukur amejua ukwel naamin hatatusahu wanaume@ now nimeamua kuishi maisha yangu peke yangu!
 
Back
Top Bottom