Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna jamaa yupo na mchumba kwa kipindi kisichopungua miaka kumi ingawa kuna miaka kama miwili hivi walipotezana kimawasiliano.... Na katika kipindi hicho WALICHOPOTEZANA bi dada alipachikwa...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu wasaalam. Juzi kati nilikutana na mrembo huko facebook. Kupitia picha alizoweka "nikashawishika" na "kuhamasika" kutoa mwaliko pasipo shuruti. Alionekana ni demu aliyekidhi vigezo vyangu...
28 Reactions
203 Replies
18K Views
Ilikua majira ya jioni nilipotoka nyumbani kwetu mtwara kuelekea dar es salaam.Kuna demu Fulani ambaye tulisomanaye shule ya msingi jina lake Monica nilikua namzimia mno hasa kwa uzuri wake pamoja...
21 Reactions
80 Replies
9K Views
Yaani kila Binti au Mwanamke wa Kilokole ikitokea ' umetongoza ' tu utamsikia anasema umpe muda aende akaongee na Mungu wake Kwanza na kwamba atasubiria sauti ya Kiroho itakayomwambia kama labda...
10 Reactions
52 Replies
7K Views
Wakuu kiujumla huwa siandiki sana issue za maisha yangu binafsi hasa za mahusiano. Jana Katika pita pita zangu nikakutana na girlfriend wangu niliedumu nae kwa miaka miwili akiwa na kijana wa...
40 Reactions
168 Replies
14K Views
miaka ile ya 90 iliibuka issue moja ya jini liliokuwa likijulikana kwa jina maarufu POPO BAWA. wengi walikuwa wadogo au bado hawajaja huku Town (Dar) nakumbuka mimi nlikuwa nasoma miaka ile...
3 Reactions
39 Replies
7K Views
Mara nyingi imekua ni kawaida kusikia kuwa mama mwenye mtoto mdogo akiganya mapenzi na mtu baki au hata baba wa mtoto bila utaratibu maalumu, mtoto huweza kuathirika(kubemendwa). Je sababu ni nini...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Za usiku wakuu Tangu niandike sitasahau nimekuwa muoga sana wale wenzetu wa jinsia ya ke Sa hivi Niko kazini na manzi mmoja hivi cheupe. Napambana na nafsi nimfuate tuyajenge nifanyeje? Ushauri...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Sijui kama ni kumlinda kijana,au ni wivu,maana asilimia kubwa ya wazazi tumepitia maisha hayo,nini kinawafanya wazazi kuchukia wanaposikia vijana wao wapo kwenye mahusiano?
1 Reactions
4 Replies
805 Views
HATUA TANO ZA PENZI (Ingawa wengi huishia hatua ya tatu) “Inawezekana hakuwa wakwangu”, “Yamkini Mungu hakupanga tuwe pamoja”, “Labda Mungu ameniepushia mengi”. Mara kwa mara wengi tumesikia...
4 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wakuu, Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya wanaume wanachepuka, hilo halina ubishi( na sisi wanawake tunajua hilo). Ila mnapoamua kuchepuka, hebu jaribuni kuchagua michepuko...
13 Reactions
89 Replies
11K Views
Habarini za siku wana jamvi. Hapa nilipo nimepitia mengi sana kuhusu mapenzi, nimekuwa na mahusiano na wanawake wengi sana. Wa muda mchache na wa muda zaidi ya mwaka mmoja. Mwaka 2013 nilipanga...
2 Reactions
33 Replies
7K Views
Umeolewa lakini wanaume bado wanakutongoza na kusema wanakupenda. Ukiachika kwa mumeo ndio utajua kwamba wanakupenda au laah Hawatakushobokea, We unafikiri ni kwa nini?
23 Reactions
117 Replies
10K Views
Je mtu akienda kujitambulisha ukweni anaenda mwenyewe na wawakilishi na barua au inatangulia barua kwanza harafu yeye ataenda siku ya kupeleka mahali? ========= Inategemeana kabila na kabila...
0 Reactions
16 Replies
12K Views
Hii ni kwa wanaume. Kama umeharibu kwa mke, mpenzi au rafiki wa kike kwa namna yoyote ile kuna njia nyingi za kuomba msamaha. Kuna wale wanaume wagumu sana kusema sorry nimekosea na wanawageuzia...
18 Reactions
163 Replies
18K Views
Maisha yana mengi sana na ili kufanikiwa katika maisha muhimu uzingatie hivi vitu vikuu vitatu 1.Muombe sana Mungu yaan sali kwa imani haswa ili mambo yako yaweze kukunyookea hapa uvumilivu pia...
2 Reactions
5 Replies
8K Views
Kama hujawahi kuambiwa lini una nafasi nikutoe dinner!? Ama jiandae weekend hii kwa kinywaji ama dinner... Kaogee maji ya bahari... Kumbuka yale yana chumvi na chumvi hutakasa na kuondoa...
3 Reactions
61 Replies
8K Views
Wadau mimi ni msichana nina miaka 25 kiukweli sijui mapenzi ya mama wala ya baba na kwenye hii dunia najiona nipo peke yangu.Mama yangu alitengana na baba mimi nikiwa mdogo sana nahisi miaka 3 au...
8 Reactions
107 Replies
11K Views
Habari wana JF, Kuna msichana nlikua na husiano nae ya pata miezi 11 tulipendana sana lakini mwenzangu akaanza kubadilika. Akawa kupiga simu mpaka nimuanze, kuna siku niliamua kumtania kwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…