Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Leo nataka nikupe somo zuri la kuweza kumuua mumeo kama humpendi na ww bila kufungwa na police na bila kushtakiwa na ndugu yeyote na ukabaki kwa Amani katika maisha yako yote.Nawe mwanaume unaweza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Asalaaam, Ni mara nyingi tunashuhudia mahusiano sugu mengine hadi 6 years na bado yapo tu. Humu ndani stori nyingi za mapenzi mahusiano yake yana miaka ya diploma, degree, masters zingine hadi...
13 Reactions
251 Replies
14K Views
Wewe kijana kutwa unanyanyua vyuma uwavutie wanawake kwa kuwa na six packs, badala ya kutafuta pesa. Ukweli ni kuwa wengi wa wanawake wanatafuta uhakika wa maisha ya baadae kwa kuwa na mtu mwenye...
10 Reactions
68 Replies
10K Views
Naitwa Ally niko Tabora natafuta rafiki wa kuchat nae then tuwe wachumba ila awe mvulivu shida na njaa, umri kuanzia 18 ~26. Alietayari namba hiyo 0743850941 kwa eirtel no 0692658141
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Wadau habari zenu? Naamini hamjambo wote, Kama mnavojua huwa sina habari za kutunga humu JF na wala sina jina bandia na wala sina avatar bandia kama wengi wanavofanya, sina majina bandia kwenye...
9 Reactions
179 Replies
17K Views
Kivuruge ambaye pia ni kitombi mtalii, amesema kisha wa pitia mabinti 1400 wa ki Africa Na kuwachabanga mimba wengine 600. Amewasifia mabinti wa ki Africa kwamba ni watamu sana kitandani Na Wana...
2 Reactions
47 Replies
6K Views
Hello! Huu ni mfano wa kesi ambazo zipo nyingi sana kwa wapenzi au wana ndoa lakini limekuwa jambo la kawaida sana maana wengi wao hawana pa kusemea either kwa kuhofia aibu au hata kuhofia...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Assalam wakuu, Kichwa chajieleza, Kwa wahenga wenzangu mnakumbuka miaka ya 90s na 2000s kulikuwa na kampeni ya one love ikichagizwa na hayati Marley na wasanii kibao wa Bongo kwamba kila me awe...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wakuu katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Eee bhana ee mambo niaje wakuu wa jukwaa la mello. Kuna mbinu moja ambayo nataka kuwapa masela wangu muliochoshwa...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Bila shaka kumekucha salama,na assume wote ni wazima! Karibuni Kila mmoja (mwanaume) ana sifa zake za kwanza anazozipenda kwa mwanamke anayemhitaji kuwa nae. Sifa zinaweza kufanana au...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa wake ambao hamjapitia mkoleni sisi wa Kwamtogole tunawapa usia love making ina waunganisha, inasukuhisha ugomvi, inawafanya mjione kuwa ni mwili mmoja na pia hupungua a tamaa ya michepuko...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari, Kiukweli kuna wanawake wakiolewa wanakuwa kama wabibi kipindi kifupi tu ukilinganisha na zamani alivyouwa (single) utakuta vaa yake ya hovyo kajiachia achia tu kitambi hilo, mazoezi...
7 Reactions
34 Replies
5K Views
Mwanamke mmoja ametoa malalamiko yake akisema kwamba amekutana na mwanaume Facebook wakakutana hotel anasema actually the boy was so good, Lakin suala la kushangaza ameamka asubuhi anakuta...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Kwanza napenda niweke wazi kua kufika kileleni mapema sio tatizo maana toka nibalehee kumbukumbu zangu zinaonesha huwa nawai kufika kileleni Kutoka na hali nimegundua japo zuri ambalo ningependa...
1 Reactions
136 Replies
21K Views
Habari za masiku, Wanaume wenzangu, ni rahisi sana kumfanya mpenzi wako aridhike bila kutumia madawa, epukeni mitishamba na madawa ya kuongeza nguvu, ni hatari sana kwa afya na maisha yenu...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Niaje wana JF Niko na mpenzi wangu takribani miaka miwili hivi though bado hatujachumbiana ila shida ninaipata ni kwamba tangu kuanze kushiriki sex na huyu mrembo yaani akiwa anapiga bao...
7 Reactions
62 Replies
8K Views
Najua wakati mwingine unachoka kuishi kwenye ndoa kwasababu kadhaa zinazokukumba,napenda kukwambia kuwa,changamoto ulizo nazo wewe,hata wengine ziko hivyohivyo. Vumilia,usikate tamaa,kuna mambo...
5 Reactions
32 Replies
5K Views
Ndo kwanza nimemaliza chuo maisha bado hajasettle kabisa, nahangaika tu na maisha Mara nimeajiriwa huku Mara kule. Huku nikiwa na extended family niliamua kuchukua gheto mitaa flani kwa sababu pia...
13 Reactions
147 Replies
16K Views
Natafuta mwanamke wa kufunga naye pingu za maisha kwa ndoa halali kutoka kanisani, mimi ni mwanaume niliekamili. Mke nimtakaye awe ana mapenzi ya kweli, elimu kuanzia la saba na kuendelea awe na...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…