GAS STATE
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 1,770
- 959
Assalam wakuu,
Kichwa chajieleza,
Kwa wahenga wenzangu mnakumbuka miaka ya 90s na 2000s kulikuwa na kampeni ya one love ikichagizwa na hayati Marley na wasanii kibao wa Bongo kwamba kila me awe na ke mmoja na vice versa is true so nataka kujuwa ile slogan imeishia wapi, vipi ilifanikiwa kama ndio kwa kiwango gani, vipi leo mbona haisikiki tena.
Je tukiifufua itakuwa na matunda kwa nyakati hizi za ujasiriamali (mwanamke/mme fursa).
Karibuni