Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,004
- 45,077
Aman iwe nanyi wakuu katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Eee bhana ee mambo niaje wakuu wa jukwaa la mello. Kuna mbinu moja ambayo nataka kuwapa masela wangu muliochoshwa na virungu vya mademu
Mademu wamezid kila siku kupigana mizinga tu sasa leo nimekuja na mbinu moja hatar sana ambayo itawanasua kutoka kwenye mikono ya mizinga had sehemu salama kabisa
Mimi hii njia nimeitumia na nimefanikiwa kabisa tena bila mashaka yeyote. .
Kuna manzi wangu mmoja niko naye kwenye mahusiano miez sita kwa sasa hapo mwanzo alikuwa akinipiga mizinga kinoma na alikuwa akinipiga mizinga sababu yeye ni mzur na ni cheupe lakin kwa jinsi nilivyo mafia kwa sasa hanipigi tena mizinga baada ya kumuahid kumuoa
Demu baada ya kumuahid kumuoa kadata kinoma na hanipigi mizinga tena kama zaman. Sasa hivi anaiba had shuka home kwao ananiletea gheto juz kaiba had sabun ya unga kama kilo tano hiv akaleta gheto yaan vitu kibao kwa sasa naletewa baada tu kumuahid kumuoa
Njia ya kuepuka mizinga ni kuahid kumuoa uliye nae
LONDON BOY