Ndoa ni uvumilivu, usipende kueleza matatizo yako kwenye ndoa kwa kila mtu

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,074
1,852
Najua wakati mwingine unachoka kuishi kwenye ndoa kwasababu kadhaa zinazokukumba,napenda kukwambia kuwa,changamoto ulizo nazo wewe,hata wengine ziko hivyohivyo.

Vumilia,usikate tamaa,kuna mambo yanakela,ila ujue,hizo ndo changamoto za ndoa,usipende kueleza matatizo yako kwenye ndoa kwa kila mtu,kwani hata wao wanachangamoto zilezile Muombe Mungu sana akutie ujasiri.

By Pazia 3, kwasasa nipo sebuleni
 
Back
Top Bottom