Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau, Nimeamini mapenzi yana nguvu sijui yameumbwaje yaani mtu unaweza ukamuona wa kawaida au ukachukulia kawaida kawaida tu kumbe sivyo, twende kwa story ilivyo. Mwaka jana nilivyokuwa likizo...
2 Reactions
38 Replies
7K Views
Kama kichwa cha habari kisemavyo , Leo nimetua dsm baada ya kutoka mapumzikoni huko magharibi mwa afrika Jiji limetulia tulii ,na mabadiliko kadha wa kadha , Nimeamua nipumzike hapa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Loving someone who doesn't love you back is the most impossible situation imaginable, especially when the love is so strong you are a slave to it.well here are some few tips to help you get over...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kijana ndoa bila pesa haiendi kokote usijidanganye kabisa, tafuta salio kwanza..bora mahusiano/mapenzi bila pesa kwanii any time unaweza mtema ukafwata ratiba zako..ila kitu inaitwa NDOA TENA YAKI...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Hivi ni kwanini hamridhiki na wake zenu ...hivi unapata vipi ujasiri wa kulala na mwanamke mwingine nje na kumuacha mke wako ndani vipi wewe unaefanya hivi roho haikuumi? Halafu sasa...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Kasie Mahaba. Habari zenyuu, Ndo naingia home hapa SA hooii,sasa nikiwa migration section pale airport iki nigongewe kuwa nimerudi nchini salama, nikamkabidhi passport yangu (aliyekuwa...
31 Reactions
365 Replies
22K Views
wadau habari zenu. nakumbuka kipindi cha nyuma huko nilitembelea mkoa fulani.basi kwa kuwa mimi ni wa kutoka town mademu wakawa wananipapatikia kinoma.nami nikaona ndo nafasi yangu ya kuonesha...
1 Reactions
20 Replies
8K Views
Nathubutu kuwanyooshea kidole wanawake, baadhi yao wasiokua waadilifu ktk mahusiano yao. Wanawake bhana sijui wakoje? Ukionyesha kumpenda yeye hajali kabisa, ukimuheshimu yeye ndo kwanza hana...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Wapendwa nimeamuaa kwenda kusearch hii mada katika mitandao mingine ili wanaume wapate somo la namna ya kukiss/denda manake jamani unaweza ukatamani ukimbiee chumbani mkianza kukisiana, sijui...
1 Reactions
61 Replies
8K Views
kumekuwa na mkangayiko mkubwa sana juu ya kumtafuta ama kumpata mke mwema je! utamtambuaje!?
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Jazzy is one of the luckiest woman on planet kuwa na mume anayempenda kama alivyo. Huyu mwanaume amependa kila "spare tire" mwilini mwake, kila stretch mark na jinsi alivyo bila kujali au kuona...
14 Reactions
180 Replies
22K Views
Naitwa Hamisa Stephen. Leo ni siku muhimu sana kwangu. Ni siku ya kuzaliwa kwangu pia leo ni siku ya mia moja tokea niwe mkazi ndani ya gereza hili. Tazama mwili wangu ulivyodhoofika hata nafsi...
4 Reactions
0 Replies
3K Views
Baadhi ya wanaume mnakoroma kama punda usiku mkilala fofofo mpaka kero. Jana kaja mkwe wangu loh sijalala kwa sauti za kukoroma usiku. Priiiii priiiii pruuuii mpaka watoto wanashindwa kulala...
4 Reactions
97 Replies
12K Views
Habari zenu, Yaani.leo jumatatu, kwa yaliyonikuta hata napata nguvu na utashi wa kuandika hapa..... acha namshukuru Mungu.... acha niimbe siku nzima leo. Ushuhuda baadae. Ni kwa Neema tuu na...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Happy valentine's day to all Jamii forums members. Nawapenda Sana na Mwenyezi Mungu awabariki mfanikiwe katika kila jambo. Nani Valentine wako humu JF? Si vibaya ukimuwish hapa, huenda alikua...
3 Reactions
391 Replies
29K Views
Wakuu salaam, Kama topic inavyosomeka hapo juu, Sijui nimerogwa, sijui stress au ndo nyeto niliyopiga kwa miaka nenda rudi sijui nina tatizo ambalo huwa linajirudia rudia baada ya miezi kadhaa...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Huu hapa ni bonge la ushamba sijui nani aliwadanganya kuacha au kubakisha chakula kwenye sahani ndio ustaarabu Akina dada mnatuangusha sana nyie ndio mna haka katabia kakuacha chakula kama unaona...
33 Reactions
228 Replies
21K Views
Unakuta unatoka na demu out, tena abda umemsafirisha toka mkoa mwingine. mkifika sehemu labda pub yaani kazi yake ni kula na kunywa na fuuul kuchati, hata cjui anakuwa anachati na nani[emoji21]...
10 Reactions
217 Replies
12K Views
Hapa mwanza kuna mvua za ajabu ajabu zinazonyesha na kuharibu mipango ya watu Asubuhi ya Leo nlikua na mihadi na demu mkali sana nliemtokea j2 iliyopita. Akanipromise anatimba Leo nimgegede...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…