Hii ni mahsusi kwa ajili ya wanaume

Hii ni mahsusi kwa ajili ya wanaume

Mambembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
2,217
Reaction score
2,971
Wapendwa nimeamuaa kwenda kusearch hii mada katika mitandao mingine ili wanaume wapate somo la namna ya kukiss/denda manake jamani unaweza ukatamani ukimbiee chumbani mkianza kukisiana, sijui kwann baadhi ya wanaume sio watundu midomoni yaan unaweza shangaa mtu kakuchoma na mimeno mpkaa ukatamani kuliaa au anakujaziaa ulimi mdomoni utasema sijui furushi la nini ...haya sasa elimu hiyo mshindwe nyie ;

Ili mfurahie busu mnatakiwa kupeana (umbusu-akubusu) .

Jambo muhimu la kuzingatia ni kuto achama au kukusanya midomo yako kama unataka kubusu kwa sauti na badala yake busu kimahaba…..

1.Sogeza midomo yako kama ilivyo (umeifumba lakini iko-relaxed) kwenye midomo ya unaetaka kumbusu…..kisha itulize midomo hiyo juu yake na sasa toa “busu kavu” juu ya midomo yake kisha jitoe alafu rudi tena x3

2.Inua uso wake kwa kutumia kidole (hii ni kwa wanaume) na mbusu moja kwa moja kwa kugusanisha pua kiaina…-Busu kwa kupindisha shingo/kichwa ili kutogusanisha pua zenu…

3)-ukiwa umepindisha kichwa/shingo…mshike mkono au mkumbatie kiasi na busu tena.

Ukiona/hisi anajisogeza au anakupa ishara kuwa uendelee kwa kufungua mdomo kiaina, kukushika mkono/kifua/kitambi/kiuno au kuweka mkono kwenye bega basi endelea na “busu nyevu” kwa kubusu ktk mtindo wa kulamba-kunyonya mdomo(lips) wa chini na tulia hapo kwa sekunde chache kisha pokea ulimi wake kwa ulimi wako (bila kuachama…ni mumo kwa mumo)alafu ukwepe na kisha rudi kwenye midomo ya busu lip ya juu…..

Ongeza ujuzi wako sasa…na kumbuka kupumua kwa kutumia pua sio unampumulia mwenzio mdomoni….(atashiba hewa) au unabada pumzi (Mauti inakukumba). Unaweza kufumba macho au kukodoa....inategema na wakati wenyewe.......

N:B najuaa mtanimindi ila somo mtakuwa mshalipataa naombeni mlifanyiee kazi!!
 
Hili somo ungeanza na hiyo anayekuchoma mimeno ndo uje kwetu.
Sisi kukiwa na tofauti tunaambizana hapo hapo we endelea kuja kutufundisha sisi na uendelee kung'atwa.
 
Take it or leave it somo limeingiaaaa wanaume mna papara saana kwenye mapenzi sijui kwanini utasema k itapoteaaaa kabla ya majambozi
 
Wanawake wanaong'ata ng'ata mic huku wakiwa wanaimba wananiboa sana.

Mtu anashindwa kujua mic imetengenezwa na material maalum, yenye high frequency za radio waves.

Wanawake jitahidini kujua jinsi ya kushika mic na kuimba, sio unaimba huku unaijaza mimate.
 
Kwani bila kukiss papuchi hailiki? Kiss ni mbwembwe tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
La kuongezea,ili kisses ziwe romantic zaidi lazima mfumbe macho,hasa wakati wa kunyonyana ndimi,siyo mnanyonyana ndimi halafu mnaangaliana macho makavu
 
Yes unamfeeel kabisaa baby wako na ww mwenyewe unajionaa kabisa upo duniaa nyingine yaaan hadi kero mtu anakodoaa macho kama jambaz alafu wanaume wakiwa washashikwa macho wanayatoaaga kama tochi
 
Mimi theory huwa sielewagi kabisaa. Practical huwa unatoa wapi nihudhurie? Na ada bei gani!!
 
Wanawake wanaong'ata ng'ata mic huku wakiwa wanaimba wananiboa sana.

Mtu anashindwa kujua mic imetengenezwa na material maalum, yenye high frequency za radio waves.

Wanawake jitahidini kujua jinsi ya kushika mic na kuimba, sio unaimba huku unaijaza mimate.
Aiseeee ili ni somo nalo piaaa ilaa hamna kitu kitamu kama bj yaaan haswa mumeo awe msafi alafu awe na mashine nyeusi yenye kichwa chekundu o.m.g ...utaniuaaa
 
Kwani bila kukiss papuchi hailiki? Kiss ni mbwembwe tu
Kwa anayejuaaa utamu na raha ya mapenzi atanielewaaa ilaa kwa mfukuaji mfukuaji huwezi nielewaa
 
Yes unamfeeel kabisaa baby wako na ww mwenyewe unajionaa kabisa upo duniaa nyingine yaaan hadi kero mtu anakodoaa macho kama jambaz alafu wanaume wakiwa washashikwa macho wanayatoaaga kama tochi
Kama wanaume wamekushinda nenda ukafanye na wanawake wenzio
 
Back
Top Bottom