kangau
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 258
- 258
Kijana ndoa bila pesa haiendi kokote usijidanganye kabisa, tafuta salio kwanza..bora mahusiano/mapenzi bila pesa kwanii any time unaweza mtema ukafwata ratiba zako..ila kitu inaitwa NDOA TENA YAKI ROMA KATOLIKI ni shida mzee tafuta pesa kwanzaa..
Ila habarii etii wanawake wanatofautianaa achana nayo kabisaa mzee, wote wana enda haja ndogo wamechuchumaa.
Chungaa sana kijana wa kiume, tafuta salio kwanza kama una ndoto za ndoa yenye furaha na itakayo dumu.
Chunga Sana.