Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Imeshakuwa fashion siku hizi hao wasichana wakishajiona wana vimakalio vimebinuka basi kitaani hatupumui. Kutwa kujipitisha pitisha vijiweni masela tuwaone yaani washajiona wao ndio kila kitu...
9 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari wana MMU. Nimesukumwa kuleta haya mawazo hapa baada ya kuona watu wanajikanyaga kwa makosa madogo pengine ni kutokana na ugeni au fikra hafifu kuhusu ulimwengu huu wa mapenzi. Kuna makosa...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Dear men, side chicks look hotter than wife because you don't live with them. You only see them when they’ve perfected their makeup. Don't leave a wife because of a hot side chick. Her...
21 Reactions
146 Replies
11K Views
Kwa upande wangu, mwaka 2016 ulikuwa ni mwaka wa kuachana na aina zote za mahusiano/mapenzi ya kuigiza na nilitaka kuwa na mahusiano yenye tija. Mapema mwaka 2017 nilikutana na binti mmoja ambaye...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Jamaa mmoja kaniita kwenye pub mmoja hivi na kaniambia kuwa ana shida na mie,nikamsikiliza,kaniambia kuwa mke wameanza kusagana na dada mmoja ambae nae ni mke wa mtu,nikamuuliza...
0 Reactions
76 Replies
14K Views
Uwa najiuliza katika mazingira kama haya kwa wale wanaoambiwa mke1 tu halali inakuwaje na wewe unahitaji mtoto? Pia najiuliza huwa wanawake wanaumwaga wakati mwingine anapewa miezi 6 kama huwezi...
3 Reactions
49 Replies
7K Views
Napenda kuwaasa wale ambao hamjaoa muoe muone jinsi maisha ya ndani ya ndoa yalivyo matamu manaishi kama watoto wadogo vile hahahahahah. Mpaka muda mwingine najikuta nacheka na mapenzi kwa mke...
5 Reactions
113 Replies
18K Views
Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Kuna mtu nilikuwa namhudumia kwa kila kitu pia na kumsaidia kumlipia karo chuo, yaani kumsomesha na nilikuwa naishi naye, tatizo limekuja...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Nilikuwa segerea kwa kunionea tu, Naanza kwa kukumbuka mwaka 2015 niliachishwa kazi yangu kisa mpenzi wangu kachezea Mali za kampuni nilizokuwa naenda nazo kwangu kufanya nazo kazi za ziada za...
73 Reactions
284 Replies
29K Views
Ni jambo la busara na hekima kubwa kumchagua mpenzi, mchumba, mke au mume ambaye umeridhika naye kwa 100%. Ipo tabia ya watu kumchagua mwenza wao kwa sababu fulani tu yawezekana ikawa kufata mali...
3 Reactions
65 Replies
5K Views
Maisha ya ndoa hayana kanuni lakini yana misingi ifuatayo; 1) Usimkemee au kumpigia kelele mkeo unapoongea naye, hakika umwumiza, 2) Usimsemeseme mkeo kwa watu, atakuwa jinsi unavyomsema. 3)...
4 Reactions
21 Replies
6K Views
Maswala ya kuvunga vunga mi siwezi kama wewe ni mdada basi ukija kwangu naomba uvae bikini tu basi ndani. Maswala ya kuvaa mchupi kama wa mtumba tunaharibiana siku na mudi ya kugegeda fresh. Vaa...
4 Reactions
107 Replies
11K Views
Some of my characteristics 1. I am between 30 to 40 years. 2. A man, not a boy and well matured. 3.Roman catholic by religion. 4. Employed and woking on self project as an entrepreneur 5...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakati fulani unaweza kudhani kuwa mtu anachotaka sana sana ni kutiana tu (ashakum si matusi) basi baada ya hapo kila mtu anashika hamsini zake. Hilo linawezekana ikiwa ni mtu ambaye mmekubaliana...
45 Reactions
341 Replies
37K Views
Siku zote mwenye pesa ni kama mfalme anaweza kupata marafiki wengi na kuchagua mwanamke yeyote anayetaka, kuna jamaa yangu mmoja tunakaa nae ameowa mwanamke mshombeshombe sio siri yule dada ni...
17 Reactions
110 Replies
11K Views
Nimekuwa nikishuhudia baadhi ya wapenzi/wanandoa,ikifika usiku,utaona wanakunywa vinywaji vikali,huwa najiuliza,kuna uhusiano labda na mapenzi? wazoefu wa vinywaji hivi,tupeni siri,je harufu kali...
1 Reactions
57 Replies
10K Views
Habari ya mwaka mpya. Wanawake akili zao wanazijua wenyewe. Wanawake sio watu wa kuamini 100%. Mara nyingi nimekua nikiwahusia vijana na wanaume wenzangu humu kua wanawake sio watu wa kuwaamini...
22 Reactions
219 Replies
21K Views
Kama kichwa kinavyojieleza. Nina mpenzi wangu tuna takribani miezi 6 sasa,Tatizo linalomsibu ni kila baada ya kukwichikwichi anasumbuliwa na maradhi,tumeenda hospitali mara kadhaa anaishiwa...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
KOMBORA KIOTANI-42 BONIFACE BIRAGE Ilikuwa hatari kwake.Hatari iliyomtisha na kumdhoofisha na akashindwa kujua anajisaidiaje.Walinzi wa rais walimweka chini ya ulinzi mkali sana na tayari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hujiamini na hauko proud na maumbile yako ya asili! Kwann uje umenivalia nywele za marehemu wa Peru, Brazil ama India? Hiyo kwangu ni sababu kubwa ya kukupiga chini na kuvunja uchumba Kama...
14 Reactions
60 Replies
5K Views
Back
Top Bottom