Ipo siku nitasema mapenzi basi

chumanil

Senior Member
Jan 20, 2018
121
71
Nathubutu kuwanyooshea kidole wanawake, baadhi yao wasiokua waadilifu ktk mahusiano yao. Wanawake bhana sijui wakoje? Ukionyesha kumpenda yeye hajali kabisa, ukimuheshimu yeye ndo kwanza hana habari na wewe. Sijui tutumie njia gani kuwahendo? Bila maagizo ya mola wetu kuwa tuwasitiri ninyi basi mimi ningesema mapenzi basi.
 
dawa ni kumbembeleza mpaka upate kitumbua, ukishagegeda unabadilika kuwa na kiburi na ujeuri
 
mapenzi yanaweza kuwa basi ila ngono haiwezi kuwa basi
 
0ca1acbee88e68f2c62853711d271b04.jpg
 
kuumizwa mara moja au mara kadhaa ndio ukate tamaa??
kuna watu hawajawahi furahia mapenzi kamwe lakini bado hawajakata tamaa.
 
Nathubutu kuwanyooshea kidole wanawake, baadhi yao wasiokua waadilifu ktk mahusiano yao. Wanawake bhana sijui wakoje? Ukionyesha kumpenda yeye hajali kabisa, ukimuheshimu yeye ndo kwanza hana habari na wewe. Sijui tutumie njia gani kuwahendo? Bila maagizo ya mola wetu kuwa tuwasitiri ninyi basi mimi ningesema mapenzi basi.
Broo love is just a game wengi wetu tunakosea kucheza.Anza kwanza kujipenda,kujikubali wewe mwenyewe kwa 100% just fill your self with full of love and others Will love you back.If you don't do so never expect any one to love you according to the law of attraction
 
Nathubutu kuwanyooshea kidole wanawake, baadhi yao wasiokua waadilifu ktk mahusiano yao. Wanawake bhana sijui wakoje? Ukionyesha kumpenda yeye hajali kabisa, ukimuheshimu yeye ndo kwanza hana habari na wewe. Sijui tutumie njia gani kuwahendo? Bila maagizo ya mola wetu kuwa tuwasitiri ninyi basi mimi ningesema mapenzi basi.
Jambo la ajabu kwa wanaume watiifu kama wewe huwa wanapata wanawake wa hovyo na wanaishia kuumizwa tu....
Lakini wanaume wa hovyo hovyo kama mimi aiseeee........
Ebu naomba niishie tu hapa
 
Back
Top Bottom