October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,632
- 5,023
Wadau,
Nimeamini mapenzi yana nguvu sijui yameumbwaje yaani mtu unaweza ukamuona wa kawaida au ukachukulia kawaida kawaida tu kumbe sivyo, twende kwa story ilivyo.
Mwaka jana nilivyokuwa likizo ndefu ya field nilimpata msichana mmoja hivi ni wamepanga hapa jirani kwetu nilimtongoza amekubali nini maisha yalienda, kipindi kile likizo ndio inakaribia kuisha hivyo hatukufanya kitu chochote kwasababu ya muda uliisha na mambomengine sasa nilirudi chuo na tulikuwa tunawasiliana fresh.
Sasa likizo hii fupi ambayo imeanza week iliyopita nilivyorudi kuchatichati usiku na vimaneno vya hapa na pale kawaida makuzi akasema kitu mimi nikamwambia unatafuta sababu ya kuachana na mimi nini! Hiyo mada akaikazania ananiambia “kama sikutaki sinakwambia tu kwani nakuogopa”
Confidently kabisa vimaneno maneno na mimi nilikuwa namchukulia poa tu wa kawaida msichana wa mtaani tu anibabaishi nikamwambia “hakuna anayemuogopa mwenzie hapa kama kuachana tuachane tu kila mtu aendezake peaceful” akasema nani aanze nikamwambia mimi naanza akasema anza nikamwambia “sikutaki nimeachana na wewe” akasema sawa akiwa na maana kakubali mimi nilikuwa na jua makuzi tu akuna kuachana hapa na nilikuwa najua hata ikiwa serious anibabaishi tuachane tu.
Nikakaa kama masaa matatu nikakumbuka kwamba tuliahidiana tuta do nikirudi alafu nikicheki nina pesa chache ambazo zitaisha siku si nyingi nika mtext nikamwambia kwamba pesa zangu zitaisha so kama tunaruka turuke nisije ishiwa sindio akaniambia situshaachana akaniambia alafu mimi nina mtu ambaye nitakuwa naye milele akaniomba msamaha.
Mimi aikuwa habari nzito wala nini kwangu nikamwambia haya kuwa naye mambo ya kuombana misamaha na kuoneana huruma mimi sitaki wewe kuwa naye tu, yani nilikuwa namchukulia poa kwamba hayupo akilini mwangu sana hivyo nilichokuwa nasema muda uwo sio kwamba nilikuwa nina act, nilikuwa serious kabisa, hiyo ilikuwa juzi.
Sasa jana na Leo naona huyu mtu namuwaza kama anaingia akilini mwangu hata sielewi sasahivi namuona mzuri yani nina interest nae hata sielewi yaani hapa nifikiria kesho nijisacrifice kwake.
Mwanaume ule ubabe wote niliojifanya ninao naona sijui umeenda wapi kiukweli nimeamini mapenzi kitu kingine mtu unaweza ukamuona wa kawaida ila usisubutu kuingia kwenye mahusiano nae utampenda. Kesho piga uwa kalagaza lazima nijitoe ufahamu nikamueleze ukweli uzalendo umenishinda.
Maombi yenu jamani