Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
wadau habari zenu. nakumbuka kipindi cha nyuma huko nilitembelea mkoa fulani.basi kwa kuwa mimi ni wa kutoka town mademu wakawa wananipapatikia kinoma.nami nikaona ndo nafasi yangu ya kuonesha uanaume. nikawa nawapanga tu leo huyu kesho yule... sasa ikatokea nikawatokea marafiki watatu. wakaambizana mimi sijui.
siku hiyo nimekubaliana na mmoja aje kwenye ghetto la mshikaji jumamosi nimtilie... kumbe naye kawaambia wenzie walishapanga kunikomoa... mi mida ya saa tano nikaenda kwa jamaa nikamwachia 3000 ili akazunguke zunguke aniachie ghetto lake maana sikuwa na uwezo wa kwenda guest house hivyo nilikuwa natumia ghetto la jamaa mjanja wa kijijini pale.
mida mida saa sita nikasikia hodi... nikakaribisha.kucheck hivi wale mademu wote watatu wamekuja. nikashtuka ila nikajikaza moyo.wakanambia sasa wamekuja si wote nilikuwa nawataka mimi ndo najiona mwanaume tena wa mjini.. sasa niwato****e wote. dah.... kiukweli hata mashine haikuweza kusimama maana kipindi hicho ndo najifunza mambo haya hata ujasili sikuwa nao. wakaanza sasa kunilazimisha kuwa niwashughulikie ndo wamekuja..mimi si mwanaume.... kiukweli siku hiyo nilifhadhaika sana.baadaye wakaondoka.sikufanikiwa kumla hata mmoja.
walitaka niwapige mtungo. ila nawaza miaka 5 baada ya siku ile wangekuja ningewapiga kitu bila shida kabisa...maana nlishapata uzoefu mkubwa tu. kwa sasa nimetulia sana.