Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Pamoja na uhuni ubabe wake mademu wakali alionao huyu jamaa leo nimemkuta kapiga magoti anasali uku akilia anatoka hadi makamasi kisa demu mmoja hivi kasema hataki kuolewa tena na jamaa...
5 Reactions
60 Replies
5K Views
Wakuu, Kuna binti fulani huku niliko kikazi ni mwezi wa pili huu unaenda kama sio wa tatu, nilizoeana nako, nimekua nikila tunda mara kwa mara. Sasa kamekufa kameoza, yaani ana wivu, muda wote...
2 Reactions
92 Replies
10K Views
Mambo 10 ambayo ni Sumu katika Mapenzi KATIKA harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke ambaye kwa sababu moja au nyingine anakwondolea uwezo wako wa kufikiri, kutumia...
5 Reactions
10 Replies
36K Views
Kuna binti nilimtongoza akanikubalia ila sikuwa na malengo nae kabisa maana yeye yupo mkoa mwingine nami nipo kwingine. Sasa ametokea kunipenda zaidi ya hata nilivyofikiria na kutegemea. Huyu...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Habarini wana Jf kitengo hiki cha MMU. Nisiwachoshe sana niseme tu moja kwa moja ,Hakuna tabia inanikera kama mtu kujisifia sana badala yakuonyesha mfano, any way najua hakuna mwanaume anayependa...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
WANAUME HICHI KITU NI KIBAYA MUSIWAFANYIE WANAWAKE [emoji117]Unamtongoza dada wa watu na kumsumbua mpaka anajiaminisha kuwa unampenda kumbe hayuko hata kwenye ndoto zako, unataka tu mtu wa...
18 Reactions
119 Replies
11K Views
Nilibahatika kupitia Singida muda fulani!hakika kuna wanawake wazuri sana na pia ni wachapakazi!inafaa sana kuwa muwekezaji wa mapenzi Singida!ila kibiashara na shughuli zingine za kuingiza kipato...
2 Reactions
49 Replies
6K Views
  • Closed
Habarini za usiku huu, naleta tangazo hili usiku huu baada ya majadiliano marefu na mhusika... Anayetafuta mchumba sio mimi bali ni mwanaJF mwenzetu nami nipo hapa kama mwakilishi Nimejiridhisha...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa kitanzania niko hapa kutafuta mwanamke wa kuishi nae Nimeishia kidato cha nne mwaka 2012 nina miaka 25. Nimejiajiri kwenye campuni binafsi ya Umoja Computer and IT solution pia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hili limeushtu sana moyo wangu... Why nife au niue sababu ya mapenzi? Nlishakataa kugombania mpenzi... Yaani nampenda msichana na mwingine naye anampenda then nigombane na mshkaji sababu ya...
18 Reactions
73 Replies
6K Views
Habari za jioni wapendwa, Nimekaa nikawaza hivi hizi style za kufanya mapenzi mfano sijui mbuzi kagoma kwenda, sijui ya mwanamke kuwa juu na nyingine nyingi je zilikuwepo toka zamani? Au ndo...
6 Reactions
102 Replies
30K Views
Naombeni ushauri jamani, Nimeoa na ndoa yangu ina mwaka sasa. Mke wangu ana tabia nzuri sana kiasi kwamba kila mtu ananisifia kuwa nimepata mke bora.Tatizo linakuja kitandani, yaani si enjoy...
18 Reactions
433 Replies
81K Views
Habari wakuu, Hii ni haki kweli, pamoja na kujituma kote huku na kumfanyia makubwa binti bado hanitaki. Nifanyeje mie? Hapa nlipo simu yangu nimempa na kubaki na laini lakini binti bado...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Kama kichwa cha thread kinavyojieleza, nahitaji mwanamke aliye tayari kuolewa iwe humu JF ama kwingineko. SIFA ZANGU Dini: Muumini wa dini ya kiislamu Umri: Miaka 32 Urefu: 175 cm Kabila...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kutumia ujumbe wa mtu mwingine eti kuonyesha kuwa unampenda ni ishara ya kwamba huna uwezo wa kutengeneza maneno yako mwenyewe,eti mpenzi wako anakuforwadia messege kukwambia anakupenda aliyoipata...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Jumatatu nyingine imeanza na uchovu wa weekend.kwa upande wa wanaume ilikuwa weekend yenye mkanganyiko sana hasa kwa upande wa michezo.mimi kwangu ni jumatatu kama jumatatu nyingine isipokuwa tu...
17 Reactions
138 Replies
13K Views
Majina tunayowaita wanawake wanaoolewa inawezekana kuwa yanachangia sana kudidimiza hadhi na heshima ya wanawake na kuonekana kama wapishi na wahudumu wanaowatumikia wanaume. Nimeona niweke uzi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanamke hawi mzuri kwa sababu ana sura nzuri au shepu namba nane. Mwanamke ni mzuri kama anahofu ya Mungu na ana humble spirit. Hio ndio alama ya uzuri wa mwanamke. Usituoneshe catwalk...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeandika kwa masikitiko makubwa kutokana na hii tabia ambayo baadhi ya wanawake wamekuwa nayo. mtu mnakubaliana vizuri kudate siku ya kwanza ya pili unamgegeda kwa mahaba naye anaonekana ame...
12 Reactions
99 Replies
8K Views
Kwa miaka mingi nimekulia kwenye mazingira ya haya makabila tajwa. Kila familia niliyoishi au kuona nimeona mambo kadhaa ambayo binafsi nimekuwa nashindwa kupata ufafanusi wake lakini naishiwa...
0 Reactions
12 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…