KING 360
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,002
- 5,202
Pamoja na uhuni ubabe wake mademu wakali alionao huyu jamaa leo nimemkuta kapiga magoti anasali uku akilia anatoka hadi makamasi
kisa demu mmoja hivi kasema hataki kuolewa tena na jamaa ukizingatia kuwa hawajawai hata kutambulishana kwa wazazi alafu demu mwenyewe ni wakawaida sana ukilinganisha na mademu wengine wa jamaa
uyu demu atakuwa anakitu cha tofauti sana na mwonekano wake
Ila mapenzi haya kweli hayana ugumu wala ubabe.