Je, ni sahihi kusema nimepata jiko badala ya kusema nimepata mke?

igembe2018

Member
Mar 3, 2018
18
10
Majina tunayowaita wanawake wanaoolewa inawezekana kuwa yanachangia sana kudidimiza hadhi na heshima ya wanawake na kuonekana kama wapishi na wahudumu wanaowatumikia wanaume. Nimeona niweke uzi huu ili tuyajenge. Sina lengo la kupotosha au kupendelea upande wowote. Naomba kuwasilisha
 
Nimepata jiko ni maneno ya wahenga halimshushii heshima mwanamke bali linamtukuza ndio sifa na heshima ya bint aliye olewa acheni mambo yenu kuiga wazungu dumisha mira na desturi zetu
 
Kwahiyo mwanaume kuitwa JEMBE ni udhalilishaji wa utu/ubinadamu wake.

Lugha za picha ni muhimu kufupisha maelezo!
 
hamlali...jiko ni nahau ama lugha ya picha haina madhara yoyote ile kumuita ama kusema hako ka msemo kwa mtu mke
 
Back
Top Bottom