Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Nilibahatika kupitia Singida muda fulani!hakika kuna wanawake wazuri sana na pia ni wachapakazi!inafaa sana kuwa muwekezaji wa mapenzi Singida!ila kibiashara na shughuli zingine za kuingiza kipato ni sawa na kuvua samaki uwanja wa Taifa!Message delivery!