Kwanini Huwa wanaume tunapenda kuongea kuliko vitendo?

Lupamba's grandson

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
1,232
1,192
Habarini wana Jf kitengo hiki cha MMU. Nisiwachoshe sana niseme tu moja kwa moja
,Hakuna tabia inanikera kama mtu kujisifia sana badala yakuonyesha mfano, any way najua hakuna mwanaume anayependa kuonekana awezi, ila kitu nakiona humu na sehemu nyingi tu ,hakuna mahali mwanaume anapost habari yake yakudadavuana na mrembo bila kuseme " yani nilipiga show ya maaana 2hrs man standing" au utakuta mtu kaandika " yani nikaunga vitatu bila kumchelewesha " au " nilimkomoa nilipiga yani nilifumua 3hrs" yani haman ambaye atasema jamani nilipania kumkomoa ila kwabahati mbaya dk 5 tu mm niko hoi. Dah huwa nachokaga sana wengi humu wanatulisha matango pori hamna ambaye atasema chini ya 30mn au ndio kutengeneza CV .let us change bana sio kila show bana uwe mshindi tu ww kuna zingine unafungwa. nawasilisha
 
Na wewe ni mwanaume ?

Hati mbaya sana, jifunze kuandika vizuri.

Hii mada ingependeza kama ingeletwa na mdada.

wewe kama dakika tano tayari pwa pwa pwaa, kuna wanaosimamia ukucha.
 
Mzee Umejiunga 2015 ila uandishi wako Mbovu sana Hata kama elimu hakuna uzoefu hakuna?
Watu wa design yenu huwa hawanipi shida na niliwategemea, maana huja nakupita. Uandishi sio lazima nifanane na ww katika mbinu za mafanikio uwe mbunifu, usifanye kitu ambacho lazima kifanane na mwenzio ,ongezea sio kila kitu unaiga .acha ushamba
 
hatupend kuonekana inferior mbele wa watt wakike ila hayo mambo binafs tunaambiana shida humu kuna watt wa kike
Angalau watu wenye uelewa mmejibu sio wengine wanaanza mpka kugagua mtu kajiunga lin jf je kama nna acc mbili .umesomeka mkuu
 
Na wewe ni mwanaume ?

Hati mbaya sana, jifunze kuandika vizuri.

Hii mada ingependeza kama ingeletwa na mdada.

wewe kama dakika tano tayari pwa pwa pwaa, kuna wanaosimamia ukucha.
Inaonekana ww ni mmoja wawale wanaojisifia ujinga kwanini usiwe halisi? Unachokiandika na uhalisia wako tofauti
 
Hv kwenye policies za jamii forum kuna mahali walisema lazima kufata masharti ya uandishi au? Au lazima uwe na mwandiko mzuri kama wa best angu The bold?
 
Back
Top Bottom