GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,700
- 14,639
Hili limeushtu sana moyo wangu... Why nife au niue sababu ya mapenzi? Nlishakataa kugombania mpenzi... Yaani nampenda msichana na mwingine naye anampenda then nigombane na mshkaji sababu ya msichana? Huo ni ufala.wasichana wenyewe wapo weeeeeeengi mpaka wanabaki.
Ndiyo... Mi nawaona wengi tu wazuri wanazagaa zagaa... Juz nlikuwa restaurant moja nlikuja kuhudumiwa na dada mmoja mzuri sana. Wa umbo,rangi na sura.ila ni mhudumu wa restaurant.nliwaza why wanaume wamekuwa wagumu kuoa? Yule dada akipata mwanaume serious kweli atachezea ndoa?
Nmesikitika kusikia kijana mmoja kamuua mwenzie bahati mbaya sababu ya manzi. Huyo manzi after two weeks atakuwa na mshkaji mwingine watu wanaendeleza wenzao walipoishia.inakuwa mchana,inakuwa usiku siku ya pili. Yule jamaa marehemu ataenda kuonana na sir God na atahukumiwa kadri ya matendo yake.
Huyu aliyebaki naye atachukua jengo lake. Segerea maskini ashapoteza uelekeo. Demu mwenyewe ataendelea kugegedwa na akina gudume. Why nifanye hilo jambo sababu ya mapenz?niache wadada weng tu humu watanimiss,niache msosi wa huku duniani,niache vinywaji na watoto warembo?
Msiendekeze mapenzi...ni upuuzi sana.mi nawaambia kwa experience kubwa nliyonayo...kama mapenzi yanakupa hard time achana nayo.fanya issues nyingine.kama vipi jichezee pool tu then utulize mzuka. Why uhangaike na mambo you cant handle?
Mimi nakupenda when you love me ukinambia leo hii hunitak tunaagana kwa amani.wala sikuuliz hata mara mbili. Na kama sijakuoa hata nikisikia umegongwa na mwingine ntauliza kama mlitumia kinga.then ntakwambia tu osha papuchi lete tule.
Mtu anakula anaacha hapo hapo why bother kugombea?mhusika kaamua mwenyewe kugawanya mali yake kwa wadau mbalimbali why mi nihangaike kuzuia kitu kimebandikwa kwake? Acheni ufala vijana... Kugombea mpenz ni zilipendwa hizo.kwa sasa tugombee mambo ya kutuongezea kipato.
Wabillah tawfiq.