Kadi zenye jumbe za mapenzi

Kadi zenye jumbe za mapenzi

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Kutumia ujumbe wa mtu mwingine eti kuonyesha kuwa unampenda ni ishara ya kwamba huna uwezo wa kutengeneza maneno yako mwenyewe,eti mpenzi wako anakuforwadia messege kukwambia anakupenda aliyoipata mahala ambapo hata yeye hajui,huu ni ushamba wa kiwango cha standard gauge
 
Unaumia nini kama hao wapenz wameridhika na hio hali?
 
Si lazma mfanane ishi maisha yako.
 
Ndiyo maana watu wanasoma ili wabadili tabia
 
Back
Top Bottom