Tusaidiane jamani hivi utajuaje kama umerogwa na umerogeka vilivyo na ama Mkeo au Mpenzi wako?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,568
108,910
Kuna dalili fulani naanza kuziona Kwangu na zingine kwa Washikaji zangu kama Wawili Watatu hivi hivyo nangojea kwa hamu sana majibu yenu ili kusudi niweze kuzilinganisha na zangu halafu niweze kujua kama nahitaji tiba nyepesi tu na ya haraka au tiba kubwa na ya hatari hadi nipone kabisa.

Nawasilisha.
 
Mh6MGTL.gif
 
Siku ukifika mataa tu unashangaa yanakuruhusu bila kusimama hata sekunde 1, unaenda ATM NMB hukuti foleni upo pekeako, unaenda Bar unahudumiwa unadai bill unaambiwa uliacha chenchi jana au ile unamtongoza dem mkali ghafla anakwambia bas fanya leoleo maana kesho mama anarudi ....bas ujue umerogwa mkuu!!!
 
Akya nani.!njoo Murusagamba huku babu yangu huwa anatazama kwa wewe mtani njoo tu na kuku wa blue mwenye bikra..
 
Kuna dalili fulani naanza kuziona Kwangu na zingine kwa Washikaji zangu kama Wawili Watatu hivi hivyo nangojea kwa hamu sana majibu yenu ili kusudi niweze kuzilinganisha na zangu halafu niweze kujua kama nahitaji tiba nyepesi tu na ya haraka au tiba kubwa na ya hatari hadi nipone kabisa.

Nawasilisha.
Mkuu Gentamycine hakuna kurogwa wala kulogeka ila MTU hujiloga mwenyewe kimawazo.Wazo lolote baya unaloliwaza hukuhukumu na kujiona unatatizo Fulani kumbe mawazo yako ndio yamekufikisha huko.Ukiamini kurogwa utalogeka kwa kuwa akili yako inaamini hivyo.Tusubiri MSHANA JR ashushe yake nitarudi kukufafanulia mana yakulogwa na kulogeka mkuu
 
Inategemea,binafsi iliwahi kunikuta nilipata kampani fulani mtu wa kagera baada ya muda nikaongeza kampani nyingine,si unajua wanaume tulivyo wakati mwingine!!zote napiga mambo nini fresh,baada ya kama wiki moja hivi ile kazi ya kagera ikaniuliza kama nina kazi nyingine nje zaidi yake.Mzee nikakana ile mbaya,basi kilichofuatia ni kushindwa kabisa kupiga game za nje,yaani kitu hakishiki kabisa 4G lakini kwake kinasoma ile mbaya,nikaona daah mapema yote hii kupeana ukilema wa maisha nini,nikamwambia mama eeh hatujazaliwa pamoja,ndio kumwacha kwa kusaidiwa na wataalam.
To cut a story,mambo hayo yapo Chief inategemea na aina ya ndumba utakayokutana nayo.
 
[QUOTEokndayilagije, post: 26218285, member: 397481"]Aaah wapi!huko ni mbali sana.[/QUOTE]
Ooooh ok,ni karibu na wapi?
 
Jibu unalo mwenyewe ukijichunguza vizuri utagundua umelogwa tena yaani ni hivi chizi kalogwa tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom