Ushauri: Wanaume wanatafutaga 'tobo' sio mavazi

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
18,204
Reaction score
17,561
Wanawake ni watu wa ajabu sana
tunajishaua na kupaka ma makeup na kuvaa manguo ya thamani ya kupendeza na wengine kuchomekea skintight wapate ma wowowo masaloon ya bei ghali kusuka nyele za bei ghali

Eti una attract / unavutia wanaume.

My sister, usihangaike sana, wanaume hawaangalii nywele wala sura wala nguo ghali sana sana unazidi kuwakimbiza tu maana wakikupigia hesabu juu mpaka chini wanaona duh huyu sitamweza wengine mpaka wanaishia kusema huyu sio wife material.

Jitahidini, wanaume wanatafutaga kitu kimoja tu ''tobo''.

Mavazi karingishie akina dada/mama wajisikie vibaya sio wanaume.

WANAUME MPO!

Fanyeni mambo yote kwa utukufu wa Mungu.—1 Kor. 10:31.

Neno la Mungu lina mwongozo mzuri unaoweza kutusaidia kufanya maamuzi ya hekima yatakayomtukuza Mungu. Hata hivyo, bado tuna uhuru wa kuchagua mavazi tunayopenda. Tuna mapendezi tofauti-tofauti na uwezo wetu wa kifedha unatofautiana. Ingawa hivyo, sikuzote mavazi yetu yanapaswa kuwa nadhifu, safi, yenye kiasi, yanayofaa hali, na yanayokubalika katika eneo letu. Ni kweli kwamba si rahisi kufanya uamuzi unaoonyesha utimamu wa akili na unaozingatia mambo yote. Maduka mengi yanauza nguo zinazopendwa na wengi, kwa hiyo huenda ukatumia muda na jitihada nyingi ili upate sketi, gauni, na blauzi zinazofaa au suti na suruali ambazo hazibani sana. Hata hivyo, waabudu wenzetu wataona na kuthamini jinsi tunavyojitahidi kutoka moyoni kutafuta nguo zinazovutia na zinazofaa. Na uradhi tunaopata kwa kumletea Baba yetu wa mbinguni mwenye upendo utukufu unazidi changamoto zozote tunazokabili tunapotafuta nguo zinazofaa.
 
Acha hizo bana!mwanamke kupendeza ni wajibu.we kama uko rafu hakuna mtu atakutamani!mwanamke anavyopendeza kisimposimpo anavutia zaidi umvue uone tobo lake
 
Tobo bila mvuto pia ni kazi bure utaishia tu kupewa mambo raha ya manzi hata ukigembea ujisikie raha especially mtoto anaposmell cologne ya kibabe sio sabuni ya magadi
 
amina mtumishi
 
Ukweli mtupu!
karibu tena

Mwendo wa tobo goli
hehehe

Acha hizo bana!mwanamke kupendeza ni wajibu.we kama uko rafu hakuna mtu atakutamani!mwanamke anavyopendeza kisimposimpo anavutia zaidi umvue uone tobo lake
aisee ndio hao unakutana na misitu na chiu zinanuka kama wolper!

Hapana... Ni maoni tu nimetoa...

Nachoangalia mimi huwezi kukijua...

Cc: mahondaw
sauwa shemeji

Waambie Hao. Hawajiulizi kwann beki 3 hajirembie lakini watu wanatamani.. Wakati mama mwenye house haishi kukaa kwenye kioo
hahahaha ni hseedah!

hg anatengeneza machine kukliko mavazi

Bila kapicha kidogo cha ilo tobo tutashindwa kukuelewa tobo lipi unazungumzia
hilo hilo unalolifahamu kichwani kwako

Picha ya TOBO pleaseeee
nenda google
 
Tobo bila mvuto pia ni kazi bure utaishia tu kupewa mambo raha ya manzi hata ukigembea ujisikie raha especially mtoto anaposmell cologne ya kibabe sio sabuni ya magadi
sawa tumekusikia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom