Swali: Matumizi ya condom kwako yapoje?

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,820
Leo nimekaa Club Legends na KIPUSA mmoja best yangu sana miaka 20 sasa... tunapiga stori mambo kibao akaanza kunisifia uongo na ukweli oh penny! unajua wewe una akili nyingi sana tangu shuleni, nakuona unavyowatumbua Jamii Forum wale madogo shauriako, watakufunga wajinga wale!

Money Penny: Wanaanzaje kwanza kunifunga?! kwa lipi wakati me nawapa raha wanapunguza stress!

to make a long story short, baada ya maongezi mengi tukarudi kwenye topic moja nilishawahi ongelea humu ya fumanizi, akaniambia

Kipusa: ile topic unajua ni bonge la Hadithi, yani hizo hela wamekulipa naona kama wamekuonea, ile hata dola 10,000 unachukua

Money Penny: aisee, basi naandika ingine ya NDOA na TRUE LOVE naamini nitauza sana na ile ya LEMONADE for You

Kipusa: Penny usisahau kuandika matumizi ya condom!

Money Penny: kivipi?

Kipusa: waambie wadogo zako kuhusu matumizi uya condom... kuna condom zimeingia sikuhizi zina Vipelepele... harufu ya Vanilla..Mikunjo Penny hizi Condom ni noma

Nimeshazitumia zote sijabakisha ila noma ni ile ya vipele pele... buana ukiicheza kwa demu lazima akutafute, yaani anahisi kama ngoma mbili zimeingia ndani kumbe moja!

anapagawa atakutafutaa! ile kitu sijui wametengenezea kuzimu au? haina wa kumfanania... hizi vanilla na mikunjo hazioni ndani ingawa vanilla inasaidia kale kaharuu kabaya ka mwanamke haukasikii
Mikunjo inasaidia kiduchu labda kama unataka mchepuko urudi kwako tena ila kama unataka mwanamke asikuache tumia ile ya vipelevipele


Money Penny: nikachoka nikamwona huyu muhuni tu hana la maana la kuniambia!

Eti mpenzi msomaji wa JF, mnaotumiaga vipelevipele ikoje?


MIMI sijawahi tumiAa(wa) condom maana nina allergies za kufa mtu alafu ku-cheat sijawahi hata siku 1!

wazee wa condom mkuje mtupe maushuhuda ya matumizi ya condom za vipele!

 
But hiyo sio nzuri coz kuna siku utaenda nyama kwa nyama atakuona boya maana ashazoea condom za vipele....
Ofco vipele vitakuwa vinamkuna ndani ya PAPA but in a long run......itakukosti mwanaume labda kama mashine yako nayo iwe na vipele
 
But hiyo sio nzuri coz kuna siku utaenda nyama kwa nyama atakuona boya maana ashazoea condom za vipele....
Ofco vipele vitakuwa vinamkuna ndani ya PAPA but in a long run......itakukosti mwanaume labda kama mashine yako nayo iwe na vipele
Eh.. mashine ya vipele tena? !
Wakati watu wana-wax sehemu za siri
Au wewe bado unatumia viwembe,!? Ahahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom