Mbaya zaidi hata chini hajayanyoa

Mbaya zaidi hata chini hajayanyoa

Masweeter

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
236
Reaction score
669
Yaani boxer matatizo chini hajanyoa, eti anipate mimi thubutu, nilimuacha solemba kama naenda chooni, nikamblock, sijui dude lake alililazaje maana lilivyokuwa limeamshwa.

Nyoeni pia wanaume usafi muhimu!
 
Yaan boxer matatizo chini hajanyoa , nyoooo eti anipate Mimi thubutu, nilimuacha solemba kama naenda chooni, nikamblock , sijui dude lake alililazaje maana lilivyokuwa limeamshwa ,

Nyoeni pia wanaume usafi muhimu
Duh una majanga wewe.

Mumeo umesema ana govi,hafui boxer ,hanyoi nywele za huko bondeni.

Hapo bila shaka uzi unaofuata lazima uje useme jamaa ana kibamia halafu goi goi kitandani.
 
Mbona ulimuomba akutumie kama si kufanya naye kabisa,
Sema hajakufanyia fair kukuacha baada ya kuimaliza kazi,
Poleeeh siku nyingine weka X ili wasipate urahisi wakuingia.
 
Yaan boxer matatizo chini hajanyoa , nyoooo eti anipate Mimi thubutu, nilimuacha solemba kama naenda chooni, nikamblock , sijui dude lake alililazaje maana lilivyokuwa limeamshwa ,

Nyoeni pia wanaume usafi muhimu
Aksante kwa taarifa ya umalaya na ufusika wako.
 
Yaan boxer matatizo chini hajanyoa , nyoooo eti anipate Mimi thubutu, nilimuacha solemba kama naenda chooni, nikamblock , sijui dude lake alililazaje maana lilivyokuwa limeamshwa ,

Nyoeni pia wanaume usafi muhimu
Story .
 
Hii habari imeanzia wapi, nimeikutia kati kwenye swala la boxer
 
Msimtilie maanani mleta anatunga tu stori kisha anawachora tu mnavyotoka povu.
Kumbe kuna watu huwa mnamchukulia serious huyu jamaa?Huyu ni wa kumpuuza tu,anatafuta atoke vipi humu Jf.Anajitahidi kutunga vistory vichafu vichafu tena vya kuwaponda wanaume ili mada zake zipate wachangiaji wengi.
 
Yaan boxer matatizo chini hajanyoa , nyoooo eti anipate Mimi thubutu, nilimuacha solemba kama naenda chooni, nikamblock , sijui dude lake alililazaje maana lilivyokuwa limeamshwa ,

Nyoeni pia wanaume usafi muhimu
Aisee! Pole sana hao watu wako sijui unawatoa wapi?! Wanaku-disappoint sana daily...
 
Back
Top Bottom