Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu Naomba ushauri nataka kumrushia mtu maneno hayo hapo juu yamekaa poa niyafyatue tu au nimwambiaje? Kimsingi sitaki tena mawasiliano nae, ila sijamwambia ila huwa simtafuti kabisaaa, lakini...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Kuna mzee mtu mzima sana aliniambia wanaume huwa hatujitambui. Hela ya chakula unamkabidhi mama chumbani. Mama anatoka na kapu ananunua chakula anapika anawaambia watoto wanangu njooni mle...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna wanaume wanapenda thick girls au mabinti wanene na waliojaza jaza nyama zile alizowajaza Mwenyezi Mungu. Naomba kujua mnafaidi nini toka kwa thick girls? Maana nimejitahidi kuwaelewa ila...
0 Reactions
162 Replies
30K Views
Nisaidieni maana sijamuelewa. Wadada wa mjini buana kila kitu shortly sa sijui nimjibuje maana kaniambia nakupa namba 2.Najiuliza sasa namba 2 kivipi? Hebu washwahili kujeni mnisadie
0 Reactions
31 Replies
4K Views
KIBENTEN OFFICIAL Anawasalimia WASICHANA wale mnao GOOGLE chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA, Nawasalimia WASICHANA weupe mitandaoni ila mkiwa kwenu WEUSI...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa nini wanandoa wengi wanapogombana wananuna sana, hata kwa wiki nzima. Kila mmoja anataka kumwonesha mwenzie kwamba, amemkera. Sasa ni nani amemkera mwenzake basi? Ukweli ni kwamba kununa huku...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Hii imenitokea mm mwenyewe. Nilikua nmeenda arusha kikaz field work kama mwezi hivi sio siri maisha ya Arusha mazuri ingawa baridi ni changamoto kama haujazoea. Sasa pale kwenye kituo cha kazi...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
natafuta marafiki wakike wanaoishi dar es salaam kwa ajili yakupeana kampani, kubadilishana mawazo na kuchat whatsapp. kwa alietayari ni PM tupeane mawasiliano
0 Reactions
15 Replies
2K Views
THINGS TO NOTE. [emoji175] 1. When you keep calm as a lady, you drive him crazy, keeping him thinking that there is something peculiar about you. 2. When he sends you abusive message, do not...
3 Reactions
4 Replies
684 Views
Niende moja kwa katika mada,juzi kati upepo wa ajabu ajabu ulivuma na katika kipindi hicho nilikuwa na stress kama GB 10. Nikajitoa ufahamu kama mbwai na iwe huyo kwenda kupima ngoma. Nikamkuta...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Only for single ladies! Ndugu wana jf single ladies hatimaye sasa nimekamilisha vigezo vyote mhimu kama mwanaume mwenye uwezo Wa kulea mke na watoto kwa amani na upendo! Single ladies, kwa sasa...
4 Reactions
105 Replies
12K Views
Kuna sababu nimezisikia na nikabaki tu ' Kucheka ' mwenyewe ila naomba Kwanza nizisikie na zenu ili niweze kulinganisha na hizi zangu Saba ( 7 ) nilizonazo. Na kwa bahati mbaya sijui niseme nzuri...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Kutokana na wivu tulionao binadamu hasa sisi wanaume, kuna haja ya kubadirisha mfumo tulionao. Mwanamke awe ni halali ya mwanaume yoyote ili kuepusha huu wivu uliopo hadi watu tunafikia kuuana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuomba na kutoa ushauri ndo maisha yenyewe maana huwezi ku-solve kila kitu mwenyewe. Inapotokea mwanandoa ana matatizo au yuko njia panda kuhusu jambo lolote lihusulo ndoa yake anaweza kujikuta...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
What's good everybody? It's been a minute since I've been around this way so it's fitting that I swing by and chop it up with you good folks. Alright, so, on Sunday after we got done watching...
5 Reactions
92 Replies
11K Views
Hivi Mwanaume mzima kabisa unawezaje kabisa kusimama barabarani na kuchagua Chupi za Mpenzi wako na kuipimisha huku ' ukiikodolea ' huku na kule halafu Daladala zinapita barabarani na Watu wengine...
4 Reactions
126 Replies
20K Views
KOMBORA KIOTANI-45 BONIFACE BIRAGE “Ni heshma kubwa kukuona mheshimiwa rais Serambovu.Umefanya kazi nzuri.Kutana na THE BIG BOYS.”alitamka mmoja wao. Serambovu aliwatizama ulimi ukawa mzito...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Kwa tunaokaa katika Nyumba za Kupanga nadhani hii Kitu tumeshakutana nayo na tunaendelea kukutana nayo kila uchao. Ni kwanini Wanawake wengi ' Single ' ( wasioolewa ) huwa wakiwa wamepanga katika...
3 Reactions
54 Replies
6K Views
Naandika kwa masikitiko unakuta mwanaume ana mwanamke mzuri mrembo kwa sura mpaka tabia kila mtu anamtamani huyo mwanamke ulie nae. Cha ajabu mwanaume anakwenda mitaani kuzoa na kupanda visichana...
8 Reactions
125 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…