Kupima ngoja noma nduguzanguni

Kupima ngoja noma nduguzanguni

beevenom

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
313
Reaction score
433
Niende moja kwa katika mada,juzi kati upepo wa ajabu ajabu ulivuma na katika kipindi hicho nilikuwa na stress kama GB 10. Nikajitoa ufahamu kama mbwai na iwe huyo kwenda kupima ngoma. Nikamkuta mhudumu wa kike nikaeleza kuwa nataka kupima ngoma ,Dada akaniita chumba namba mbili yaani hakunishauri wala mahojiano huyo akaagiza nimpe kidole faster kanitoboa kaweka vitu vyake tayari kwa kupima. Nikahisi moyo unataka utokee ubavuni nikwamwambia nina haraka sana kama vipi nitayajia au anitumie. Dash!! Nadhani aligundua akanambie we tulia tu ni dk chache majibu yatakuwa tayari. Nikasema leo nimeingia cha kike na nimechuchumaa tayari. Mara akaitwa nje kakipimo kakaacha mezani mi nimekodoa macho kuhesabu mistari katika kipimo ile anakuja ndo mambo yameiva,mara huna ngoma kwa huyo kuwa makini. Kwa kweli kutoka moyoni nilijihisi nimekuwa mwepesiiii kama mtoto mchanga.
Wadau kupima ngoma ni mtihani ambao hata Dr.anaweza kufeli. Jamani tutulie na wenza wetu
 
Mi nakula ganja kwanza ndiyo naenda kupima, Nakuwa nimepooza utafikiri teja ... [emoji1] [emoji23] [emoji108]
 
Siku ya kwanza kwenda kupima nafsi ilikua inataka ila miguu ilikua haitaki... kinyooonge kama naenda kuchinjwa hadi nikafika ila dah si mchezo
 
me nimepima leo kwa style hiyo hiyo. Lete kidolee damu inatolewa, subiri dakika tano majibu haya hapa.
 
wamekosea utaratibu lazma mtu apewe counselling kwanza kbl ya kupokea majib....
 
me nimepima leo kwa style hiyo hiyo. Lete kidolee damu inatolewa, subiri dakika tano majibu haya hapa.
Kwa kweli ule utaratibu sio kabisa yaani anatoa majibu kama anatoaatokeo ya uchaguzi we balozi wa nyumba kumi
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hahaha labda usiniombe nikusindikize tukiingia tu dr nakaa mlangoni
Ushaona mtu yupo busy ghafla simba akatokea hiyo spidi anayotoka nayo hapo nahisi roketi haiingii ndani....

[emoji4]
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hahaha labda usiniombe nikusindikize tukiingia tu dr nakaa mlangoni
Ushaona mtu yupo busy ghafla simba akatokea hiyo spidi anayotoka nayo hapo nahisi roketi haiingii ndani....

[emoji4]
 
Nadhani noma zaidi nadhani ni kuumwa na kumuambukiza mwenzio.

Huku unajua kabisa ni matokeo ya vitendo vyako vya uzinzi.🙁🙁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom