Ushauri; uhusiano wa baba na mtoto

Ushauri; uhusiano wa baba na mtoto

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
542
Reaction score
753
Kuna mzee mtu mzima sana aliniambia wanaume huwa hatujitambui. Hela ya chakula unamkabidhi mama chumbani. Mama anatoka na kapu ananunua chakula anapika anawaambia watoto wanangu njooni mle nimewapikia chakula kitamu. watoto wanasema asante mama.

Hela ya nguo za sikukuu unamkabidhi mama chumbani. Kesho yake mama anatoka anaenda dukani kununua nguo. Akirudi anawaambia watoto wanangu nimewaletea nguo za sikukuu njooni mjipime. Eee wanangu mmependeza sana. Si mnaona ninavyowapenda ee, ndio mama.

Ukifika wakati wa ada unamkabidhi mama ada chumbani. Asubuhi akiamka wanangu naenda kuwalipia ada zenu za shule. Akirudi nimeshawalipia ada zenu ee, gari ya shule kesho itawapitia. Asante mama. Mtoto akikosa mama yeye hatoi adhabu anawaambia watoto ngoja baba yenu aje. Ukirudi unaelezwa unachukua bakora unaaaza kuchapa usijue ndio unazidi kuleta uhusiano mbaya na watoto. Ukifika uzeeni sasa watoto hawana kumbu kumbu yeyote nzuri kwako.

Tuwe makini mahitaji tukabidhi adharani. mama na watoto waone. Ushauri wa bure."
=================
Wako
Kalenga kidamali
Nawasilisha
================
 
Baba warudi saa 6 usiku watoto wamelala waondoka 12 saa ngapi utakabidhi kwa watoto na ukiwahi kurudi maji ya membe full kichwani wapi na wapi na watoto!
 
Baba warudi saa 6 usiku watoto wamelala waondoka 12 saa ngapi utakabidhi kwa watoto na ukiwahi kurudi maji ya membe full kichwani wapi na wapi na watoto!
Huu ushaur hasa ni kwa wale tusio na kazi.
Ila sawa somo limeeleweka.
 
Ninashinda nao..nawapa chakula..nawaandaa na shule..nawapeleka shopping..eti wakikosa nije kumwambia baba yao..!!nani kasema!! Nawapiga vizuri tu Baba yao atapewa taarifa
 
Ninashinda nao..nawapa chakula..nawaandaa na shule..nawapeleka shopping..eti wakikosa nije kumwambia baba yao..!!nani kasema!! Nawapiga vizuri tu Baba yao atapewa taarifa
Ndio maana jana baby nmekuambia ivi ,lazima tuzae namtoto wakwanza awe mschana.[emoji8] .

Nasipatii picha atakavyokua amejaa ,guu guu ,kalio kalio ,sura sura km mama yake.[emoji8][emoji8] unakila sababu yakutolewa ng'ombe zaidi ya 40 kama mahari , kondoo na mbuzi 36 . Thaman yake sitaki kujua.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee ukileta vyote ivyo hakikisha unatafuta na eneo la kufugia hyo mifugo..khaa
 
Yaaan niivi , kila kitu mpaka mwangalizi wake .

Wajua wazazi wako niwazazi wangu , ndugu wako niwangu pia , nitaanzaje kuacha wahangaike na mifugo??

Hapana japokua Nilishangaaga bro kutoa mahari ilonitikisa , ila sasa naelewa kuna mwanamke uwezo ukiwa mkubwa hata kumtolea milion 100 nisawa tu .... Wewe nizaidi ya Baraka .
[emoji85]..lakini nimeyapenda hayo maneno ya mwisho..[emoji3]
 
Back
Top Bottom