Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 1,743
- 4,272
Kuomba na kutoa ushauri ndo maisha yenyewe maana huwezi ku-solve kila kitu mwenyewe.
Inapotokea mwanandoa ana matatizo au yuko njia panda kuhusu jambo lolote lihusulo ndoa yake anaweza kujikuta akiomba na kupokea ushauri kutoka kwa asiye ndoani(a single person).
Wasio ndoani wanaweza kuwa wasiowahi kuwa na ndoa au waliowahi kuwa ndoani na kutoka kwa sababu mbalimbali.
Je, ni sahihi kuchukua ushauri kwa mambo ya kindoa kwa ambaye hajawahi kuwa ndoani?
Je, ni sahihi kuchukua ushauri wa mambo ya kindoa kwa ambao wameshindwa na ndoa(divorcees)?