N ATAFUTA MARAFIKI WAKIKE

N ATAFUTA MARAFIKI WAKIKE

Bima zetu

Member
Joined
Mar 16, 2018
Posts
13
Reaction score
0
natafuta marafiki wakike wanaoishi dar es salaam kwa ajili yakupeana kampani, kubadilishana mawazo na kuchat whatsapp.
kwa alietayari ni PM tupeane mawasiliano
 
Huku hupati nenda hapo sinza / kinondoni utaona wadada wamesimama wanasubiri marafiki wa kubadilishana mawazo usiku huu.... [emoji4] [emoji108]
 
natafuta marafiki wakike wanaoishi dar es salaam kwa ajili yakupeana kampani, kubadilishana mawazo na kuchat whatsapp.
kwa alietayari ni PM tupeane mawasiliano
kwa hiyo wanaume wenzio hamuwezi kubadilishana hayo mawazo?
 
natafuta marafiki wakike wanaoishi dar es salaam kwa ajili yakupeana kampani, kubadilishana mawazo na kuchat whatsapp.
kwa alietayari ni PM tupeane mawasiliano
Wakija uniite na mm mkuu!
 
Game on!
jf.PNG
 
Back
Top Bottom